Nitamwambiaje mchumba wa zamani kuwa sitomuoa tena

laussane

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
255
131
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
 
Lau!! Swali lako ni gumu lakini lina majibu mengi.
Kwanza unaweza kunipa sababu kwa nini humuoi mchumba wako huyo unaye mbwaga? na kwanini unamuoa huyu unayetaka kumuoa?
 
Inaonekana hukumwambia kama unaoa ukakaa kimya ukimweka kwenye matarajio ya kuolewa na wewe. na hilo ni kosa kubwa ulilomfanyia mwenzio.
Unamwambia kwa mdomo na maneno kama ulivyosema hapa jamvini.
 
Lau!! Swali lako ni gumu lakini lina majibu mengi.
Kwanza unaweza kunipa sababu kwa nini humuoi mchumba wako huyo unaye mbwaga? na kwanini unamuoa huyu unayetaka kumuoa?

Ndibalema mpenzi wa zamani hajanikosea kabisa, na huyu mke nimempendea vingi tu ana sifa ya kuwa mke pia
 
u will pay for that,rememba wat goes around........y did u date her?
Habari zenu wana jamii!
Unamwambiaje mchumba wako wa zamani kuwa hutofunganae ndoa tena? kwasbb umeshaoa naombeni mchango wenu!
 
u will pay for that,rememba wat goes around........y did u date her?

Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu
 
yaani jamani nyie mahusiano haya!!.................kazi kweli kweli!!

haya muhusika tupe sababu basi ya kutomuoa dada wa watu.... maana tuisje tukaanza kukurukia kumbe sababu yako una mashiko
 
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu

na ahadi ya kumuoa ukampa??? je kwa muda gani?
 
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu
Do you know that you have wasted her time? yawezekana kapata wachumvba wengi tu wa maana kawamwaga kwa ajili yako kumbe wewe ushaoa. **************
 
Ndibalema mpenzi wa zamani hajanikosea kabisa, na huyu mke nimempendea vingi tu ana sifa ya kuwa mke pia

Ndugu yangu bila kuficha umefanya kosa kubwa. Kuumiza nafsi ya mtu (kimapenzi) ni kosa kubwa sana.
Lakini pia kuendelea kumdanganya (kutomwabia ukweli) ni kosa maradufu.
Mwambie ukweli kuwa wakati wako wa kuoa umeshafika na umeshaoa ila msisitize kuwa sababu ya kutomwoa yeye sio kwamba humpendi ila imekubidi.
lakini Kaka utamuumiza sana.
 
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu

Sijakupata mkuu unamaanisha nini unaposema mchumba tu? Kwa hiyo uchumba wenu zaidi ulikuwa kwenye sms na kupigiana simu hakuna hata siku moja mliwahi kukutana angalau na kupanga future yenu?
 
Ni mchumba ambae sijadate nae hata once ila alikuwa mchumba tu kwa kuwa namuona binti na nampenda, lakini sijashare nae mapenzi naomba nieleweke! zaidi ni sms na kupigiananae simu tu

What do you mean hujadate nae??? anakuwaje mchumba wako without dating??? Au unamaanisha you have never slept with her??? Hiyo haijalishi bwana bottom point ni kwamba you drove her close to you to the extent of making her beleive that you were hers hata kama mnakaa mbalimbali.

Yani I feel verry sorry for the poor girl kwa sababu that kind of s**t hurts a lot and you men you keep doing it no matter how many times inasemwa kuwa its never fair kwa part nyingine.

KWA NINI HUKUMUAMBIA UNA PLANS ZA KUOA MTU MWINGINE BEFORE YOU GOT MARRIED????
 
Do you know that you have wasted her time? yawezekana kapata wachumvba wengi tu wa maana kawamwaga kwa ajili yako kumbe wewe ushaoa. **************

ahhhhhhhhhhhhhhh jamani nyie wanaume wengine ni selfish mnooooooooooooo!!!
 
Back
Top Bottom