- Thread starter
- #21
nakubaliana na ww hapo, lakn ningemjua hyo virus, t wud hv bn much easier coz ningweza kumu-avoid! I just restored ma cmptr from backup image (wich ws clean) but stil taratibu inajaa yenyewe bla kuweka external wala flash! Lakin kuna partition ambayo yenywe haipo infected. Inawezkana huyu virus yupo kwnye hii partition au ameinfect my backup file? Inawezkana virus kuingia kwenye backup file kwel?hapana si gueswork ilishanitokea mimi hili tatizo kila wakati computer yangu ilikuwa inaful hard ndio nikagundua ni aina fulani ya virus anakopi the entire flash to your hard disks na sehem huwa yana pelekwa ni kwenye directory au folder named Document and settings in local disk c na yako hidden