Nitampataje rose1980?

mipango mingne basi
anza kutafuta pampas na poda cz the soon awa factory me n jino kwa jino wl produce..km vle kwa michelle obama anavyomsubiria mtoto kwa sasa..

sasa my wife unamwaga mchele knye kuku wengi hayo ni yetu ya siri
 
Watajibeba wanaosema eti miaka 35 biological clock ndo mwisho wa kuzaa,mimi nasema hadi 60???kuhusu pampas owners wa viwanda vya product za watoto ni rafiki sana wa mume wangu,so ni kiasi cha nyie kusema nitoe order halafu ziletwe hapo?????

watajibeba km kdg,...mwenyewe najiona kigoriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kuwa na miaka 52 kwan mingi sana et shost...ahhh awa bnadamu FITNA ZINAWASUMBUA..LAKIN JINO KWA JINO MWENYEWE haaaa wala hajali kakubaliana na HALI!!!!!!
NA NISHAANZA KUMPENDA MIE...MSHENGA eeenhh kesho ntakupa posa ukapeleke kwa jino ..nytakupa na adress ...beijing revoltion ..wanawake wanatoa posa tanzania skuiz...
 
Na mi Maria Roza namzimia lakini kule kwenye jukwaa letu.Anipm nimpe yale mavituzi please apatapo ujumbe huu awe puctual.
 
Bas huwa nikija Dar, nikiona binti yeyote maneno mengi najiuliza, au huyu ndiye rose1980? lol
 
wanawake wa jf nikama panya wa ghalani ukishindana naye atakuangushia magunia!!!kazana!keep hurnting mkuu!
Mkuu hakuna siku umenichekesha kama leo yaani mpaka nliokuwa nao jirani wakaniuliza nlipowaambia wasome ujumbe wako wakacheka kinoma na mademu walisoma wakasema Jf kuna vituko vya kila rangi na eti ugenious ukizidi unageuka taahira.
 
watajibeba km kdg,...mwenyewe najiona kigoriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kuwa na miaka 52 kwan mingi sana et shost...ahhh awa bnadamu FITNA ZINAWASUMBUA..LAKIN JINO KWA JINO MWENYEWE haaaa wala hajali kakubaliana na HALI!!!!!!
NA NISHAANZA KUMPENDA MIE...MSHENGA eeenhh kesho ntakupa posa ukapeleke kwa jino ..nytakupa na adress ...beijing revoltion ..wanawake wanatoa posa tanzania skuiz...

Mi mtu asilogwe aniambie eti biological clock is ticking,while bado mayai ninayo......sasa itabidi huyo shem wangu jino kwa jino,mfanye mipango uzae haraka manake ukifika 60s na haya ma-presha na visukari na mi ndo huku white house ntakuwa sipo sijui ntakusaidiaje??

Posa niletee,mtoto wa kike wa kileo unalipa wewe na kuoa unaoa wewe,watajibeba wasiotaka,ndo tulichotoa Beijing.......lol
 
Nahisi kama kukumis,
hivi michelle, na hii weekend lol....

Unaniudhi nahizo sitaki nataka zako,kitu kidogo tu unazunguka mpaka basi
Sema tu I MISS YOU MICHELLE,CAN I SEE YOU THIS WEEKEND?
nimeshakuvumilia sana,sasa wenzio wako straight...................lol:Cry::car::car::car:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom