Nitampataje rose1980?

Usidanganywe picha (avatar). Rose mwenyewe kasha fikia menopause. Mie nilikuwa na hamu kama wewe, lakini nilimuona nikampa shikamoo yake.

jaman asi nilikuambia iwqe siri yako?
sasa ndo nini kila mtu anijue km mi kizee, nimefanana na lucy kibak...?
si vzur ivoo kutoa siri za ndan nje...PROMOS ME AUTAENDELEA KUNIUMBUA ZAIDI
 
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku

Wanawake wa JF nikama Panya wa ghalani ukishindana naye atakuangushia magunia!!!Kazana!keep hurnting mkuu!
 
afadhali moyo umetulia nilijua umenipiga chini, now am happy

ahh apana sna ujanja wa kukupiga chn jaman...
nambie ...pole nilikuwa tyt kdg na vijireport asi unajua tena....
km vp twende zetu pm bwana apa naona joto afu umeme umekatika afu WATU MACHO KODOKODO....
 
Wanawake wa JF nikama Panya wa ghalani ukishindana naye atakuangushia magunia!!!Kazana!keep hurnting mkuu!

Haaa haaa nicheke mie ninenepe.....ushakutana nao wangap kaka?
habari yako banaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!1
 
jaman asi nilikuambia iwqe siri yako?
sasa ndo nini kila mtu anijue km mi kizee, nimefanana na lucy kibak...?
si vzur ivoo kutoa siri za ndan nje...PROMOS ME AUTAENDELEA KUNIUMBUA ZAIDI
Kuna vitu ni kama wine.... they get better with age...... unless kama ni "The older I get the better i was"... lakini kwa busara zako am sure wewe as days go on ndivyo unavyozidi kuwa better
 
Kutokana na utulivu na usikivu wake alishaolewa siku nyingi na sasa huyu hapa

images
 
kaka vp umepata? mi nilizimika na Maria Rosa ilaaaaaaaaaaaaaaaaaa???????

Anyway..........................
 
Kuna vitu ni kama wine.... they get better with age...... unless kama ni "The older I get the better i was"... lakini kwa busara zako am sure wewe as days go on ndivyo unavyozidi kuwa better

hahah hahaha aya bwana!
achanteeeeeeeeeeeee...!!!!!!
say t again..
 
Jamani huyu dada kanivutia sana hata kama hatanipa tamu basi hata story tu nakuzimia sana tafadhali nakupataje? Natamani ungekuwa wangu wa kila siku

Kwa jinsi jina lako linavyojieleza,
bila shaka utang'oa tu Rose, usihofu!
jino kwa jino!!!!!!!!
 
NIMEKUJA jaman aujaniona>?
ahh mshemga michelle sjui yuko wap akushtue km nipo apa msimbaz police tangu saa 8

Kunani huko police? au ndo yale madeni yako tena??mshenga kazi ndo nimemaliza mkishakubaliana mniambie nianze mipango mingine....lol
 
Kunani huko police? au ndo yale madeni yako tena??mshenga kazi ndo nimemaliza mkishakubaliana mniambie nianze mipango mingine....lol

hahah hahaa asante MSHENGA
polic asi ndo venue ya kukutana na uyu bwana jino kwa ulimi....
maden mpaka waende wakashtaki mahakamaya madeni na uchumi ya dunia ivi ivi imekula kwao...
 
mipango mingne basi
anza kutafuta pampas na poda cz the soon awa factory me n jino kwa jino wl produce..km vle kwa michelle obama anavyomsubiria mtoto kwa sasa..
 
Wanawake wa JF nikama Panya wa ghalani ukishindana naye atakuangushia magunia!!!Kazana!keep hurnting mkuu!

Tuna minguvu eeeh,naona hukuwepo sikumbili hizi umerejea na kashfa.....ole wako!we utakuwa umekutana nao wangapi useme hivyo Kakakiiza,au ndo uchokozi wako wa kawaida???
 
Tuna minguvu eeeh,naona hukuwepo sikumbili hizi umerejea na kashfa.....ole wako!we utakuwa umekutana nao wangapi useme hivyo Kakakiiza,au ndo uchokozi wako wa kawaida???

Tatizo huwa nikikuuliza swali lolote hunijibu...................
 
mipango mingne basi
anza kutafuta pampas na poda cz the soon awa factory me n jino kwa jino wl produce..km vle kwa michelle obama anavyomsubiria mtoto kwa sasa..

Watajibeba wanaosema eti miaka 35 biological clock ndo mwisho wa kuzaa,mimi nasema hadi 60???kuhusu pampas owners wa viwanda vya product za watoto ni rafiki sana wa mume wangu,so ni kiasi cha nyie kusema nitoe order halafu ziletwe hapo?????
 
Back
Top Bottom