Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa jf, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe mkirsto
2. Awe mweupe
3. Awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. Awe mrefu wa wastani
5. Kuanzia miaka 30 kuendelea

dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.

nina vigezo vyote ni pm
 
Wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
feature ya maisha ???? sijakuelewa vizuri hapa, ila kwa kuwa umevunja ukimya wataku PM wengi tu
 
Wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na FEATURE ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
"Feature ya maisha" unamaanisha nini?
 
Wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.

Endelea kusubiri kwa kuomba utampata tu mume utakayepewa na Mungu! Njia unayotaka kutumia si sahihi. Njia hiyo (vigezo) hutumika kutafuta mvulana na si mume. Nikirejea vigezo ulivyotaja, naona vyote ni utashi wako tu na si kuongozwa na roho mtakatifu. Kwa taarifa tu hivyo vigezo ulivyotaja (isipokuwa cha urefu) huwa vinaendelezwa!! Kwa hiyo kuna uwezekano kuwa siku moja vikatoweka kwa huyo mume je itakuwaje utaenda tena kutafuta mwingine? Suppose anavigezo vyote lakini akawa na vitu vya kuridhi ambao hata yeye mwenyewe havifahamu say uzinzi etc itakuwaje?

Kwa kifupi mpendwa sahau kutafuta mume kwa kutumia text book writings au utashi (akili) wako. Sikiliza sana roho (siyo matamanio yako) kwa msaada wa roho mtakatifu utafanikiwa tu. In short tafuta mtu mtakayependana kwa dhati toka mioyoni mwenu irrespective ya hizo qualities. Mind you si semi ustimani, binadamu wanamatamanio angalizo hapa ni kuwa unafuta lasting relationship na siyo one-nite stand. Vile vile hata kwa vigezo hivyo kama utaomba kikweli kweli basi Mungu atakujalia tu vinginevyo kila utapofanikiwa kumpata mwenye hivyo vigezo chances ni atakuwa either hakupendi au ni mume wa mtu.

Naomba uniruhusu nihisi ni kwanini hasa kinachopelekea uwe na vigezo kama hivyo. Wadada wengi huwa na ndoto kama hizo kwamba nikiwa na mtu wa vigezo kama vyako basi watazaa watoto weupe warefu wazuri etc` etc. Nakutahadharisha kuwa maisha ya ndoa siyo rahisi kiasi hicho just look around utaupata ukweli.
 
Ndo ulichoona hapo, huoni nimemshauri ampe mwenzie muda abadili? au kuna unalotafuta kama kawaida yako?manake umaarufu wako we unautafuta maeneo kama haya! Susy amekosea na ashasema atabadili, hakuna sababu ya kumuita mwenzie nungayembe au kusema anachofanya ni cha kijinga!!

Leo tutawekana sawa hivyohivyo tu, ngoja nianze.
Wewe umeshasema hana sababu ya kumuita mwenzie majina aliyoyataja coz ameshasema atabadilisha, na umeshasema anachokifanya ni kitu cha kijinga, sasa huoni hapo kumzuia mtu asiendelee kumsema mwenzie ni kuwa mkali?? Au unaelewa kuwa mkali ni kumshambulia mtu??? We unaelewaje bwana??? Mi sijaja kupata umaarufu hapa JF, utanipeleka wapi kwanza???? Naomba usichomekee yasiyohusu hapa. Mimi sijacomment kushambulia mtu, kama hukunielewa ungeniuliza kwanza
 
Wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.

Kama kweli uko serious basi nitumie meseji kwenye PM hapo. Yaani ndoa fasta!!!
 
Leo tutawekana sawa hivyohivyo tu, ngoja nianze.
Wewe umeshasema hana sababu ya kumuita mwenzie majina aliyoyataja coz ameshasema atabadilisha, na umeshasema anachokifanya ni kitu cha kijinga, sasa huoni hapo kumzuia mtu asiendelee kumsema mwenzie ni kuwa mkali?? Au unaelewa kuwa mkali ni kumshambulia mtu??? We unaelewaje bwana??? Mi sijaja kupata umaarufu hapa JF, utanipeleka wapi kwanza???? Naomba usichomekee yasiyohusu hapa. Mimi sijacomment kushambulia mtu, kama hukunielewa ungeniuliza kwanza

Sina muda.....:coffee:
 
Mume mwema anatoka kwa bwana, hayo mavigezo siyo kitu kwenye ndoa. Unaweza ukapata mume mwenye hayo mavigezo yako halafu akawa "MZIGO" ndani ya nyumba. Mwombe Mungu wako atakupa MUME aliyekuandalia, ambaye anakidhi mahitaji yako
 
I am gud,nilikuwa naangalia hizo criteria hapo juu bahati mbaya nimeishawahiwa

Wasio kuwa na vigezo wamekuwa wakali kweli....l.o.l
ha ha ha ha ha,leo nimecheka sana,kila mtu ana kitu roho inapenda sasa kama mi sitaki mweusi,mnene,mfupi mwenye mashavu ka ya.............nifanyeje?

My brother,laters kidogo ngoja niwajibike!!! i hope jana imekwenda vizuri....we talk laters!! be good!
 
Mume mwema anatoka kwa bwana, hayo mavigezo siyo kitu kwenye ndoa. Unaweza ukapata mume mwenye hayo mavigezo yako halafu akawa "MZIGO" ndani ya nyumba. Mwombe Mungu wako atakupa MUME aliyekuandalia, ambaye anakidhi mahitaji yako
FP UNASTAHILI HII KITU HAPA CHINI
The Following User Says Thank You to Fixed Point For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Back
Top Bottom