NItamjuaje baba wa mtoto!!!

Hii ni changamoto kwa wataalam; inabidi wagundue sperm litmus detector tuitumie wanaume kabla ya ku do.............unatanguliza hiyo ikujulishe kuwa huko ndani hakuna sperms za mwingine zilizopata hifadhi!
 
Kweli babu mume wa mtu mtamu asikwambie mtu,just like mke wa mtu.

Mie sijambo my dia babu na nimefurahi kuona hii post yako mpaka 'nyumba kubwa' yangu imeshtukia


Mume wa mtu mtamu. Source: daughter.

Hujambo my daughter wangu?

Mi nakumiss sana aisee.
 
Anaweza kupima prenatal pertenity test....
Atafute to hosp wanayofanya hivyo alafu ahakikishe ana sample ya DNA ya mmoja wa hao wanaume.
Ila awe mwangalifu kwasababu kuna risk ya miscariage na infection.
 
Back
Top Bottom