Nitajuaje mimi ni ubavu wa nani?

naona umekuja kwa kasi,anyway!kizazi hiki mmetoka kwenye mbavu mbalimbali,so u fit anywhere.
 
Mwezi mtukufu wa Ramadhwahi huwa nafunga, na hivi majuzi kabla ya Idd el Hajji nilifunga pia, lakini mbona Mungu hajanifungulia!?

Hivi Waislam wanaamini kuwa Mke wa Adam alitolewa kwenye ubavu wake?
 
Unatakiwa uangalie wewe unataka mtu wa namna gani?? unataka mtu wa vigezo gani?? chukua mda kujua tabia ya mtu na pia usikurupuke kufanya maamuzi...husije juta baadae...
 
Back
Top Bottom