Nitajuaje kuwa bado niko kwenye vifungo?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,780
NITAJUAJE KAMA BADO NINAVIFUNGO
( HOW DO I KNOW IF AM POSSESED)
Nimerudia Tena ujumbe huu kutokana na watu wengi walioonyeaha uhitaji wa Huduma ya ukombozi
NI SWALI LA MUHIMU AMBALO KILA MKRISTO ANAPASWA KUJIULIZA!
Japo wengi wanadharau na kuona kama ni kawaida tu.
Kuna hali ukizipitia hali hizi daima siyo za kawaida na ni ishara tosha kuwa tayari una vifungo vya nguvu za giza japo wengi hawafaham.
Ili nguvu za giza ziweze kumtesa mtu au maisha ya mtu au kuharibu hali ya kimaisha ya mtu ni lazima nguvu hizi zimwingie kisha zimvae zimmiliki ( posses)
Zikiisha kummiliki huchua hatua ya kujidhihirisha pamoja na kuwa hujidhihirisha kwa njia mbali mbali nitataja njia hizo kwa kadri nitakavyoendela na somo ,watu hawaelewi na kuchukulia ni kawaida kabisa. kwa kile kinachoendelea
Nguvu hizi zikisha mmiliki mtu kumvaa ndipo sasa huanza kusababisha matatizo kama ya kiuchumi ,kiafya ndoa kuvunjika migogoro ya ndoa mahusiano kuvunjika , kufukuzwa kazi , ajali vifo kukwama kwa kazi na kadhalika
Hali hizi ndizo tunazofanyia watu ukombozi kila siku japo pamoja na watu kufanyiwa ukombozi hawajui kama mpaka mtu ufanyiwe ukombozi ni lazima nguvu hizi ziwepo
Kwa wale wa Dar wanafaham kwasababu tuliangalia njia kadhaa japo zipo njia ishirini za nguvu hizi za giza kuweza kujidhihirisha, kumbuka kujidhihirisha huku ni kile kinachoendelea kitakujulisha kuwa kuna tatizo tayari...
Nilisema mwanadam ameumbwa katika hali mbili tofauti
(1)Human Divine nature
(2)Sprit divine nature
Hali hii ya pili ya kibinadam imegawanyika katika hali mbili
(1)Satanic divine nature
(2)Holiness divine nature
Hali hizi ndizo zinazoweza kutoa taarifa kama huyu mtu anatatizo au laaa
Hali hizi ni za kiroho
Ili kujua kama tayari au bado kuna nguvu za giza zimekumiliki hali yako ya kiroho itatoa majibu ya kile kinachoendelea kwenye hali zako za kiroho ni ishara tosha tayari ya kile kilichopo manake kile kinachoendelea kinajidhihirisha kupia hali hizi...
Njia ya kwanza na rahisi kabisa ya wewe kujua Kama BADO upo kwa vifungo au kama kuna nguvu za viza zimekumiliki ni kupitia NDOTO unazoziota, tunasema nguvu hizi zimekumiliki kwasababu mpaka zijidhihirishe ni kuwa tayari zimekwisha kukuvaa kwa maana rahisi ni kuwa ndoto zinaashiria kile kilichokwisha kikukuvaa au kile kilichopo ndani yako, manake ndoto hizi ndizo zinazodhihirisha uwepo wa nguvu za giza kwako
Mfano wa ndoto:
Kama unaota unadumbukia kwenye shimo refu alafu ukawa unapiga kelele na kutaka msaada wewe tayari una tatizo
Uko na mtoto Mdogo na amekuwa akishtuka usiku na kupiga kelele hii siyo hali ya kawaida tayari kuna nguvu za giza zimemva
Kama unaota unafanya tendo la ndoa katika ndoto Mara kwa mara wewe tayari unatatizo
Na hili litasababisha tatizo kwa ndoa au mahusiano
Kama unaota unakabwa na jitu jeusi au mtu usiye mjua wewe tayari unatatizo
Unaota unakula ndotoni au unalishwa vyakula ndotoni jambo hili sio la kawaida lazima tayari unatatizo nilisema lazima ujaribu kujiuliza kwanini unaota unakula au unalishwa ulilala njaa jibu ni hapana na kama ni hapana basi tayari Una tatizo
Unaota unajisaidia haja kubwa kisha ukajichafua tayari hili ni tatizo( tatizo hili litaketa athari kwa maisha yako kwa ujumla)
Unaota kinyonga kobe au konokono tayari hii ni shida na kuna mahali hali yako ya kimaisha kiuchumi havitaenda
Unaota unacheza na wanyama au unakimbizwa na wanyama hili tayari ni tatizo
Unaota unazungumza au kula au kucheza dance na watu waliokufa hili ni tatizo
Unaota unacheza na nyoka hili nalo ni tatizo
Unapaaa angani hili nalo ni tatizo
Unaota unakoja kitandani hili nalo ni tatizo
Zipo ndoto nyingi Sana ambazo ukiziota zinaashiria kuwa tayari Una tatizo
Kumbuka kinachoendelea kwa ndoto ni kile kinachoendelea kwa ulimwengu wako wa roho
Sprit divine nature na nimesema kuwa hiki kinachoendelea kwa ndoto tayari ni kile kilichopo ndani yako nikiwa na maana kwamba hiki tayari kipo na sasa kinajidhihirisha kwa njia ya ndoto...
Kinapijidhihirisha kwa njia ya ndoto hii inamaana kuwa ulimwengu wako wa roho unatoa taarifa ya kile kinachooendela kile kilichopo,
Watu wengi wanapuuzia vitu hivi na kuona ni kawaida jambo ambalo siyo kawaida na hii ni kutokana na kwamba hawataki kujifunza
Ndoto hizi ndizo zinazosababisha matatizo yatakayo kuja kujidhihirisha kwa nje, manake kila ndoto itakuwa na madhara yake kwa nje
Mfano : umeota unakabwa na jitu au mtu usiyemjua manake kuna roho imeingia ambayo itasababisha maisha yako kuwa magumu Sana utakuwa tight kila eneo utakuwa ni mtu wa maisha magumu Sana japo hili halikutokea kwanza ni mpka roho hii ilipiingia ikakumiliki NA kuanza kujidhihirisha kwa ndoto bado hukujali..,
Unapaswa uzifaham njia zote za kujidhihirisha kwa nguvu za giza zilizokuvaa ili uweze kujinasua...
Kama unaota ndoto hizi na nyingine nyingine tayari unatatizo na huwa ninasema usijaribu kusonga mbele Bali tafuta kwanza msaada wa kiroho ili usaidiwe kwani hutafanikiwa
Nimetoa mifano michache sana ya ndoto japo ziko nyingi kabla sijaendelea na njia nyingine nitajitahidi kuandika walau ndoto zaidi...
Hakikisha unatafuta msaada wa kiroho haraka( ukombozi)
Fikiri chukua hatua...
Pastor Mwl.Emmanuel
 
Je ukiota mara moja na husiote tena hiyo ndoto mara ngingine inakuae au mpaka uote mara kwa mara ndoto moja
 
Hivi vitu hisia yako ndiyo mganga wako. ..jiamini mwenyewe na muumba wako. .that's it!
 
Laana mikosi na kudhoofu kiroho vinasimama kwako ( kupossess) ni lazima ukubali au uamini kuruhusu kwamba ipo nguvu ( negative power) inayoweza kukudhuru
 
Mbona ndoto zote ni matatizo tu, hizo ndoto zisizo za matatizo ni zipi? Kuota unafanya haja ndogo au? Too confusing aisee
 
Basi kama ndo ivi wengi tupo kwenye matatizo mengi sana
 
Mi nimekuwa nikiota ndoto na mara nyingi kama mfano nimeota mtu flani kaja kwangu na kweli huyo mtu huwa anakuja na pia ndoto za matukio mengine nikiziota huwa zinakuwa kweli japo zinakuwa zimejificha kidogo lakini at last napata jibu na ndoto ile hukamilika...hapo nakuwa nina nn mkuu?
 
Back
Top Bottom