Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)?

Habari zenyu bana? Hapa mnazungumzia kilele cha mlima Meru au wa nyumbani Kilimanjaro? BTW nani kanionea binti aliyezaliwa na binti yangu. Mkimwona mwambieni babu ana kiu eti.
 
Habari zenyu bana? Hapa mnazungumzia kilele cha mlima Meru au wa nyumbani Kilimanjaro? BTW nani kanionea binti aliyezaliwa na binti yangu. Mkimwona mwambieni babu ana kiu eti.

Posted via Mobile

Una kiu ukiwa uko guest
 
Habari zenyu bana? Hapa mnazungumzia kilele cha mlima Meru au wa nyumbani Kilimanjaro? BTW nani kanionea binti aliyezaliwa na binti yangu. Mkimwona mwambieni babu ana kiu eti.

Kuhusu mjukuu wako...kuna yale mazungumzo yetu yanayoendelea....infact mjukuu kayabariki...
Hivi leo mjukuu kakutelekeza gesti?
 
habari zenyu bana? Hapa mnazungumzia kilele cha mlima meru au wa nyumbani kilimanjaro? Btw nani kanionea binti aliyezaliwa na binti yangu. Mkimwona mwambieni babu ana kiu eti.
hii tabia yako ya kujenga ukuta kabla ya nyumba tutaizungumzia kikao kijacho.
Haiwezekani kabla ya salamu unaanza kuulizia mjukuu. Yaani kati ya watoto wa mabinti zako wote, huyo mmoja tu ndo unampango wa kumuachia urithi wa ile land rover 109?
 
Ni vizuri kumuuliza muhusika mkiwa katika tendo! kama mmeweza kuvuana nguo sidhani kama kuulizana hili swali mtaoneana aibu

hiyo pia sawa ,ila unatakiwa uwe na utaalam wa kung'amua.
nijuavyo mimi people differ na hata wanvyo express feeling na ku respond kwa mambo kadha wa kadha kuna differ pia.

Kwa uzoefu wangu mie wengi huongeza munkari na kisha kupoa basi nionapo hivyo hujua kidume nimefanya kazi kwa mudili wa apendavyo.
Kuna mmoja alikuwa akifikia hatua hiyo humingata duh haya mambo bwana ...
Kuna mwingine alikuwa akishafika kilele nilikuwa naogopa nadhani nimeua maana alikuwa baada ya kupandisha munkari fujo zote kunibana n.k kisha anazima na kulala ..ktk hiki kitendo nimeshuhudi mengi acha liitwe tendo la siri maana balaa tupu...
Ila licha ya yote kuna wengine show no tells hawaonyeshi vema ,huwezi jua, kama alivyosema Maria Roza niliuliza kwa binti moja mara nyingi anizo muuliza alisema kafika kileleni mwanzoni nilijua ananifariji nijione kidume ila cha kushangaza ni kuwa alikuwa anapenda haka kamchezo ukiniuliza alikuwa anafiak kilele ntasema ndio kwa mjibu wa maneno yake ,ingawa sikupenda maana nipenda yule nayeweza jua ..athough I can figure out the fake one .

Sasa niko kifungoni no more exploring
 
Mwambieni mama big babu ameteguka kiuno, anahitaji kutumia mkongojo. Msaada tutani eti.
 
Darling mzima wewe nafikiri mimi hapa sihitaji kujibu hili swali maana mimi na wewe tunajua kila mmoja akifika kileleni huwa inakuwaje tukiwa kwenye uwanja, siri yetu mama.

Hahahaaaaa AVATAR noma, hizo ni dalili za kufika kileleni, sawa Mama Big?
 
hii tabia yako ya kujenga ukuta kabla ya nyumba tutaizungumzia kikao kijacho.
Haiwezekani kabla ya salamu unaanza kuulizia mjukuu. Yaani kati ya watoto wa mabinti zako wote, huyo mmoja tu ndo unampango wa kumuachia urithi wa ile land rover 109?
Babu ana mjukuu mmoja tu. Na ile landrova nshauza, namiliki toyota stout TZF 2580. Huo ni urithi wa mjukuu. Roya umeshachelewa, mjukuu nshaanza kula mahari yake.
 
Mwambieni mama big babu ameteguka kiuno, anahitaji kutumia mkongojo. Msaada tutani eti.

Hiyo kiuno yako ishaeksipaya....waachie wenye meno watafune bana...we zako bia tu..
 
Babu ana mjukuu mmoja tu. Na ile landrova nshauza, namiliki toyota stout TZF 2580. Huo ni urithi wa mjukuu. Roya umeshachelewa, mjukuu nshaanza kula mahari yake.
Usisahau kupita hapa stand nikuonyeshe Peugeot 404 nimevuta juzi kutoka kwa Laizer. kwani leo una order ya kupeleka mbege arusha? au ni himo tu.
 
Habari zenyu bana? Hapa mnazungumzia kilele cha mlima Meru au wa nyumbani Kilimanjaro? BTW nani kanionea binti aliyezaliwa na binti yangu. Mkimwona mwambieni babu ana kiu eti.
hahahaha :israel:
 
Jamani wanaJF mwenzenu nimeulizwa swali kuwa atajuaje kama mpenzi wake amefika kileleni (orgasm)? na afanye nini ili mpenzi wake afike? Mama kubwa nikaona ni busara kuwauliza wenzangu ili tuchange mawazo na tumsaidie mwenzetu...

huyo anayeuliza ni he au ni she
 
Hiyo kiuno yako ishaeksipaya....waachie wenye meno watafune bana...we zako bia tu..
changu changu cheni changu......ngoja nikae kimya maana hachelewi kusema kategwa huyu Asprin..:tape:
 
Back
Top Bottom