Nitajie serikali ya Chadema

mzeelapa

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
1,115
391
Kama Dr. Slaa angeshinda katika kura za urais serikali yake ingekuwaje kwa kufuatana na katiba iliyopo sasa?? Kama kuna mwana JF alikuwa na fununu basi ajimwage hapa. (Maana ingebidi achague serikali halafu ufuate mchakato wa kuandika katiba mpya). Mnakumbuka idadi ya wizara ambazo alisema ataziunda, hebu nisaidieni kuwapanga mawaziri kutokana na wabunge wa CDM waliopo sasa, halafu wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, halafu......!!

Help me to imagine, Kwa matokeo yaliyopita, je urais ingeshinda CUF (Mawaziri 90% wangetoka ZNZ!), TLP, Just put wale waliogombea urais!!!!!!!!!!! Serikali zao zingeundwaje????
 
kwa kuwa ingekuwa bado katiba ya zamani(hii iliypo) that means mawaziri wangetoka bungeni kama
PM....
sheria-Tundu Lisu
Elimu...
Afya....
Nishati...
Kilimo....
Maji
Ujenzi...

hebu nisaidieni hapo
 
Kama Dr. Slaa angeshinda katika kura za urais serikali yake ingekuwaje kwa kufuatana na katiba iliyopo sasa?? Kama kuna mwana JF alikuwa na fununu basi ajimwage hapa. (Maana ingebidi achague serikali halafu ufuate mchakato wa kuandika katiba mpya). Mnakumbuka idadi ya wizara ambazo alisema ataziunda, hebu nisaidieni kuwapanga mawaziri kutokana na wabunge wa CDM waliopo sasa, halafu wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, halafu......!!

Help me to imagine, Kwa matokeo yaliyopita, je urais ingeshinda CUF (Mawaziri 90% wangetoka ZNZ!), TLP, Just put wale waliogombea urais!!!!!!!!!!! Serikali zao zingeundwaje????

Ukisha wafahamu then what?
 
cheap propaganda
 
mfano jk avunje baraza la mawazili,unaweza kunitajia atakao wachagua tena?
Hebu nitajie;
1...
2...
3...
 
swali zuri, mpaka leo nashindwa kuelewa iwapo chama kingine zaidi ya ccm kikashinda uraisi tanz bara, zanzibari na muungano utakuwaje?
 
Kama Dr. Slaa angeshinda katika kura za urais serikali yake ingekuwaje kwa kufuatana na katiba iliyopo sasa?? Kama kuna mwana JF alikuwa na fununu basi ajimwage hapa. (Maana ingebidi achague serikali halafu ufuate mchakato wa kuandika katiba mpya). Mnakumbuka idadi ya wizara ambazo alisema ataziunda, hebu nisaidieni kuwapanga mawaziri kutokana na wabunge wa CDM waliopo sasa, halafu wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, halafu......!!

Help me to imagine, Kwa matokeo yaliyopita, je urais ingeshinda CUF (Mawaziri 90% wangetoka ZNZ!), TLP, Just put wale waliogombea urais!!!!!!!!!!! Serikali zao zingeundwaje????
huo ndo unafiki..................kuwa mpole utawafahamu 2015 CDM itakaposhika hatamu
 
simple quest. simple ans. Inafahamika kuwa SI cdm wala cuf wana capacity in terms of man power ya kuunda serikali kwa sasa. Nashangaa wengine mnajitia hmuelewi hilo kwanushabiki wenu bila kutumia akili, hamjui kuwa serikali ya cdm ingejaa wana ccm?
 
Maliasili utalii na mazingira EPHATA NANYARO,huyu ni diwani mdogo kuliko wote tz,na alishinda kwa kishindo kata ya levolosi arusha mjini,ni msomi mzuri wa elimu ya mazingira na utalii,angeteuliwa mb
 
Mkuu ulikuwa wapi kipindi cha uchaguzi?mbona Jf tulikuwa na thread nyingi za safu ya mh.slaa? Pili Tz tupo mil41 na ushee unadhan dr.slaa angekosa wasomi? Mbona ccm ina wabunge na mawaziri kuanzia darasa la nne,la saba mpaka maprof? Hata kawe peke yake inatosha kuunda serikali. Au mpaka wawe masupastaa,wajulikane ndo waunde sirikali?nashindwa kukushangaa!
 
Hatutaki mambo ya kufikirika, mnakuwa na akili ya kuwaza vitu vyepesivyepesi na vya kijinga
 
Kama Dr. Slaa angeshinda katika kura za urais serikali yake ingekuwaje kwa kufuatana na katiba iliyopo sasa?? Kama kuna mwana JF alikuwa na fununu basi ajimwage hapa. (Maana ingebidi achague serikali halafu ufuate mchakato wa kuandika katiba mpya). Mnakumbuka idadi ya wizara ambazo alisema ataziunda, hebu nisaidieni kuwapanga mawaziri kutokana na wabunge wa CDM waliopo sasa, halafu wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, halafu......!!

Help me to imagine, Kwa matokeo yaliyopita, je urais ingeshinda CUF (Mawaziri 90% wangetoka ZNZ!), TLP, Just put wale waliogombea urais!!!!!!!!!!! Serikali zao zingeundwaje????

Usiwe na haraka! subiri 2015!
 
Yaani katika matatizo yote ya nchi yetu yanayohitaji ufumbuzi hujayaona, ndio
ukaamua kuamka na hili?Kweli hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo.
 
Back
Top Bottom