Nitajie mawaziri 5 tu ktk serikali ya sasa ya jk walioshindwa kumudu kazi zao vizuri?

BALAA_SHULE_YA_SEKONDARI_SUMAYE_..jpg


Majira ya saa tatu asubuhi leo Shule ya sekondari ya Sumaye mapepo yamewakumbwa wanafunzi na kukimbizwa hospitalini.

Source: Michuzi blog
 
Nilivyo muelewa mimi huyu mawe matatu ambaye sio original ni kati ya walioshindwa kazi, pia inaonyesha ni msanii kwani jina mawe matatu si lake kwa asili, kaiba jina la mtu. Au Mdasi wa Mwitu ndiye mawe matatu original. Flight of ideas.


Sijui ni lini watu walianza kumwita Mawe matatu au yeye alianza kujiita MM.
MAWE MATATU original ni jamaa mmojaMvuta bangi mashuhuri Mnyakyusa kutoka Mbeya sijui ni wilaya gani lakini kata aliyo zaliwa inaitwa MAREKANI, siyo USA ni ile nguo ambayo siku hizi inaitwa madurufu kitambaa cheap kabisa cha Cotton.

Yeye tulimwita SHULE kwa sababu alikuwa ni kilanja Mkuu wa shule, kuwa kilanja enzi zetu haikuwa ujiko hata kidogo wanakuita KIBAITA (KI BITER) pia ilikuwa ni lazima uwe side ya walimu kwa kiwango kikubwa sivyo jina lako linafutwa.
 
We have seen how CCM A, B, C.....Z have done to us. We have seen the NEC of CCM deciding against us. We have seen a lot of pains under CCM. Now, the question remains, what do you do about it? You have things you can do, campaign! Campaign against all in the National Assembly who are there for their god known as belly!

Yes, you have and will hear them speak, and you will have to judge them. Go and speak against every member of the assembly that does not present national interest. Go and campaign against them until they fall next election. Let us act Now. I began this long ago, I encourage you to do the same! It is godly to speak the truth and it is patriotic too! So go....go....goooooo!
 
mkuu esteem mp is a very sensitive prerogative political adherence ..... please exclude sisiem from a list of true and native representatives in the whole doctrine pf esteemed political leaders
Kwa heshima yako mwanaJF nimewaondoa wabunge wa sisiemu kwa vishindo kwa sababu bado wamemkubatia Rostam Aziz na kundi lake la mafisadi papa licha ya maovu ya kutisha ambayo yametajwa juu yake na hajakana. Hawa wabunge wa sisiemu ndiyo watakaoangamiza taifa letu.
 
Yeye ametutatuilia tatizo la umeme kwa kuliongeza au kwa kurudi rivasi, tarehe zote alizotuahidi huko nyuma kuatutakua hakumamatatizo ya umeme zimefika zimepita, hakumbuki anaendelea kutoa ahadi nyingine za tarehe.

Lakini si vya kurithi...
Vyakurithi vinazidi.
We mkwere unamuonaje?
 
CCM haitaacha kunuka mpaka imuondoe aliye@&ji£%nye*§a.
Sasa wao wanaendelea kupuliza feni huku madirisha wameyafunga.
"ni ujinga kutenda kwa njia zile zile utegemee matokeo tofauti"
Kwa pressure hii ya Chademe bungeni tutegemee wabunge wa sisiemu kusupport hoja za vioja bungeni; hawapendi progressive ideas; badala yake wanasifia bila aibu failure rate ya 88% ya form four!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wakati wa kampeni za uchaguzi katika mojawapo ya midahalo huko Mbeya candidate mmoja alitoa moja ambalo sintahau maishani- kwamba shule za sekondari za kata ni viwanda vya kutengeneza wajinga kaitka taifa hili-kwa maneno mengine ni kwamba kwa miaka michache ijayo idadi ya wajinga Tz itaongezeka mno!!!!! Haijapita hata miezi 6 tayari zao la kwanza limemthibitisha mwana falsafa huyu ambaye sitamsahau kamwe; sasa vioja ni sifa nilizosikia wabunge wa sisiemu wakimwagia viwanda hivi!!!!!!! Shame upon them!!!!!!!!!!!!!!! Tatizo ni kuzoea vya kuchakachua-vya creativity kwao ni tusi!!!!!!!!!!! Hawa ndiyo wabunge wa chama tawala ambacho kimeamua kutumia nguvu kuvuruga kanuni za bunge kwa maslahi yao binafsi!!!!!!!!!!!!
 
Celina Kombani---Waziri wa Sheria na Katiba hana uwezo wa kuingoza hii wizara.
 
Back
Top Bottom