Nitajie jina la mti linaloanziwa bila herufi 'm'

Majina ya miti isiyoanzia na herufi 'M' kwa lugha zetu za kibantu ni mengi sana. Nimejaribu ku-attach full document lakini imegoma ni kubwa sana, lakini baadhi ya majina ni kama yalivyooneshwa hapo chini.

Hhewasi (Iraqw)
Brachystegia microphylla
Hombo-muungu (Shambaa)
Zanthoxylum chalybeum
Ibaambono (Pare)
Macaranga capensis
Iburukwa (Chagga)
Myrica humilis
Idondo (Shambaa)
Cordia myxa
Idudu (Pare)
Maerua eminii
Idudu (Pare)
Maerua triphylla
Ifenu (Pare)
Dalbergia lactea
Ifu (Safwa)
Chrysophyllum gorungosanum
Igande (Pare)
Philippia bengalensis
Ighaa (Chagga)
Ocotea usambarensis
Ighana (Nyaturu)
Euphorbia sp.
Ighughu (Chagga)
Vernonia subuligera
Ighung'unu (Chagga)
Polyscias fulva
Igwata (Sukuma)
Acacia senegal
Ihugu (Matengo)
Syzygium owariensis
Ihunyurira (Pare)
Maerua eminii
Ihunyurira (Pare)
Maerua triphylla
Ijaja (Pare)
Maesa lanceolata
Ikeko (Pare)
Xymalos monospora
Ikhandagi (Nyaturu)
Waltheria indica
Ikindagiri (Nyaturu)
Waltheria indica
Ikindo (Hehe)
Phoenix reclinata
Ikingiri (Chagga)
Plectranthus sylvetris

Kafenulampasu (Fipa)
Dalbergia nitidula
Kafinulambasa (Nyamwezi)
Dalbergia nitidula
Kagawale (Nyamwezi)
Ziziphus abyssinica
Kahawa mwitu (Chagga)
Galiniera saxifraga
Kahawa pori (Swahili)
Coffea camphora
Kahawa pori (Swahili)
Coffea clavata
Kahawa pori (Swahili)
Coffea pseudo-zanguebariae
Kahawa-mzitu (Shambaa)
Sericanthe odoratissima
Kaimbi (Fipa)
Burkea africana
Kajambalami (Matengo)
Deinbollia borbonica
Kalala (Hehe)
Albizia schimperiana
Kalala (Nyaturu)
Corchorus trilocularis
Kalembe (Fipa)
Acacia rovumae
Kalongwe (Fipa)
Dalbergia nitidula
Kalunguli (Nyaturu)
Corchorus trilocularis
Kalunguti (Fipa)
Terminalia torulosa
Kamwamba (Fipa)
Terminalia sericea
Kanakalayi (Matengo)
Justicia matamensis
Kangaga (Lugulu)
Pandanus engleri
Kanjengunjengu (Matengo)
Friesodielsia obovata
Kapande (Fipa)
Schrebera rioloneura
Kapanga (Fipa)
Erythrophleum africanum
Kapepele (Nyamwezi)
Albizia tanganyikensis
Kasanda (Fipa)
Swartzia madagascariensis
Kasanda (Nyamwezi)
Swartzia madagascariensis
Katani (Swahili)
Agave sisalana
 
Back
Top Bottom