Nitafuta title(Topic) ya kufanyia Utafiti katika fani ya Public Administration

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Wadau ninaomba mnisaidie kupata topic ya kufanyia utafika kwa mwanafunzi anayefanya masters in Public Administration katika mazingira ya Tanzania,nina ndugu yangu anaumia kichwa sana na kwakua utafiti ni kusaidia jamii basi nikaona nilete hapa kwa wanajamii watupe mawazo.
 
Huyo ndugu yako si ndiyo anafanya utafiti?Sasa kama haoni tatizo ambalo anataka kulifanyia study inakuwaje?Mimi nikimpa topic ataliona tatizo hilo kama mimi ninavyoliona?
 
sasa si umpe jamani unamkabia ili iweje? mpe tu!
Huyo ndugu yako si ndiyo anafanya utafiti?Sasa kama haoni tatizo ambalo anataka kulifanyia study inakuwaje?Mimi nikimpa topic ataliona tatizo hilo kama mimi ninavyoliona?
 
''Kutojua suluhisho la kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania'' ndio topic
 
Kimboka napata shaka na uwezo wa huyo ndugu yako hasa darasani, aliwezaje kujisajiri kwa shahada ya uzamili bila kuwa na malengo? au ndio hayo mambo ya kusema mradi tu awe na Masters degree! mwambie aumize kichwa yeye mwenyewe ndio itanoga, maana hapa si kupata title tu hoja hapa ni kuielewa hiyo title na kuitendea haki, sasa kama sio yeye atakayeiibua kitakachofuata atakuomba uje tena JF kuulizia Objective na Methodology ya hiyo title!
 
  • Thanks
Reactions: CAY
Nina imani kama atakuwa "CURIOUS" na mwenendo wa utekelezaji wa shughuli katika Public Administration ya nchi hii, basi ni hakika atapata topic.

Nadhani kwa level ya masters anatakiwa aibuke na topic kama hamsini hivi katika Public Administration hivyo wadau wamsaidie kuchambua ni hii more relevant kufanyiwa kazi.
 
Hayo ni madhara ya claiming dasarani,kama mtu unasoma kuelewa kweli uwezi kosa topic we mwenyewe,acha kumlemaza huyo ndugu ndo yaleyale akikaa kazini anataka kufanyiwa kila kitu na kusaini mikataba mibovu,Watz ndo tatizo tusimlumu mtu!!
 
Claiming ndo nini na wewe?
 
Huyo ni ndugu yako au DEMU WAKO unataka kumfanyie Dissertation maana ukute wewe ndo unajidai kipanga kwa demu kumbe mweupe tu kichwani then unakuja tukusaidie. Anyway, kama kweli unahitaji msaada ni-PM au niandikie e-mail andreakalima@gmail.com but na wewe/huyo ndugu yako lazima ashiriki kutengeneza usifikiri nitakufanyia kila kitu Bro.
 
naweza hata nikampata title na executive summary , akashindwa kufanya utafiki kwani yeye mwenyewe hajui anataka kufanya nini, anaomba msaada wa wenye kuona matatizo ya jamii yako, kweli wasomi wa siku izi, ni noumaa,
 
Digrii za bongo bana, yaani matatizo yote katika 'PA' hayaoni?
So, hata ukimuuliza alisoma courses zipi?, sidhani kama atakumbuka.
Baada ya hapo, asubiri kuajiriwa...
 
Wadau ninaomba mnisaidie kupata topic ya kufanyia utafika kwa mwanafunzi anayefanya masters in Public Administration katika mazingira ya Tanzania,nina ndugu yangu anaumia kichwa sana na kwakua utafiti ni kusaidia jamii basi nikaona nilete hapa kwa wanajamii watupe mawazo.

jamani watu wengine! mwambie huyo ndugu yako hastahili hiyo masters degree kama hata title hawezi kutengeneza. nimeamini sasa nji hii haiwezi kuendelea kwani watu wengi ambao wanadai kuwa na kisomo hawana uelewa. tujihadhari na makahaba wa elimu.
 
Back
Top Bottom