NITAFURAHI SANA NIKIPATA DEMU WA "kizaramo".

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
Nina miaka 27.
Kwa sasa naishi mtwara na ndo ninakofanya kazi,hivi karibuni natarajia kuamia kibaha.
Nimewahi kuishi na familia mbili za kizaramo katika nyakati tofauti na kusema ukweli nilipendezewa nao sana.
Nikaweka nia kwamba nitakapoanza mchakato wa kuanzisha familia basi nikipata mzaramo itakua poa sana.
NAWASILISHA WADAU!
 
Nenda buguruni.. Ndo airport yao.. Ijumaa wapo kibao pale wanaenda ngomani then wanarudi j4

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lakini usiwe na wivu naye,akiomba ruhusa kwenda kukesha kwenye ngoma wiki moja uwe tayari vilevile kumkubalia.
 
Mmmmmh'
madameX', wachaga sijawahi kuishi nao kabisa ila huwa nasikia tetesi kwamba wanapenda sana hela nasikia eti hawajui 'mamboz'
 
Kabila sio issue uzuri wa mtu ni tabia hivyo ni bora ungejikita kwenye kuangalia tabia zaidi kulilko kuangalia kabila. Maana Unavyosema wachaga hawajui mambozi alifanya reseach gani? Wako wachaga ambao wako fiti kupita maelezo utandawazi wote huu ulioenea unafikiri kuna cha mchaga au mzaramo?
 
yammie!
YOU ARE VERY RIGHT.
 
Muulize platozoom ndie alifanya sensa ya wazaramo wote wa JF, hadi Mods.

Mpaka wa Msanga, Masaki, Maneromango, Kisarawe, Kisiju, Kimanzichana, Gezaulole, Chang'ombe, Chanika, Kongowe, Mkuranga, Mtazameni, Kisiju n.k.............Nikimaliza Wazaramo nakuja kwa Wadengereko (wako mods pia)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom