Nitafurahi Kikwete akipelekwa mahakamani The Hague

Siku inakuja nae atakuja kunyea ndoo tu hana ujanja ni siku inasubiriwa na itafika tu
 
kabla kikwete hajapelekwa, nakumbushia apelekwe mkapa kwanza the hague. jeshi lake liliua watu zaidi ya 30 mwaka 2007 znz. siyo mtu mmoja au wawili. watu zaidi ya 30
 
Kama tungekuwa na serikali inayoongozwa na watu wenye uadilifu, kuna tatizo gani watu wakienda wengi wakati wa ufunguzi wa Tawi? Kwani kukusanyika watu wengi wakati wa ufunguzi wa Tawi ni kosa? Watu hawawezi kunyimwa uhuru wao eti kwaajili ya kuogopa uongozi dhalimu unaowaua. Watawala hawa wanaua leo lakini mwisho wa siku ni lazima waulipie udhalimu wao, ndivyo ilivyotokea kwa watawala wote madikteta na wadhalimu. Viongozi wa Serikali yetu ni wanafiki, wanapenda kujionesha kuwa ni waungwana na huruma mbele a watu lakini mioyo yao imejaa ukatili wa kupindukia, ndiyo maana wakati wote wanafurahia mauaji yanayofanywa na polisi dhidi ya wananchi, maana haiwezekani Amiri Jeshi Mkuu kukaa kimya huku jeshi lake likiua watu kila mara.

Damu za marehemu wote wanaouawa na polisi ziwe juu ya Rais, wanawe na maswahiba wake. Uhai wa binadamu yeyote, awe maskini au tajiri, mwenye cheo au mwananchi wa kawaida ina thamani kubwa mbele ya Mungu, na yule mwenye kuutoa uhai wa mwenzake kwa makusudi ni lazima Mungu ataonesha ukuu na mamlaka yake.

Yap, nadhani kuna haja ya CDM kutumia njia nyingine za kujipatia umaarufu, kwani kufungua tawi lazima waitishe mikusanyiko ya watu wengi?
 
Bujibuji umenikuna hapa. Hichi kijamaa kinapaswa kikanyee debe Guantanamo. Ukiachia mbali mauaji kiliingia madarakani kwa kuiba pesa yetu kwenye ujambazi wa EPA. Laiti tungewapa upinzani serikali ili Kikwete, Mkapa na Mwinyi washughulikiwe vilivyo ili uwe mfano kwa wengine. Kuna kipindi natamani atokee kichaa mmoja mwenye magwanda awafanyizie na kuwaramba shaba wote kudaadeki.

Hahaha father of all nimefurahi kusikia sauti yako leo ukiwa unawasapoti makamanda nilijua we ni mtu wake na ***** mngine b.membe eti ndo rais ajaye ccm hawa wamechanganyikia,wakimweka membe cdm inamweka heche ndo ushndi tunapata.
 
Usi kariri kuwa The Hague hupelekwa ma Rais Pekee, Rejea Congo na Kenya ( wapinzani wachochezi) utagundua milango iko wazi kwa yoyote, usije shangaa Padri jangili wa wake za watu au Makengeza Disco Joker mmilik wa Madanguro akanyea Debe Uholanzi!
Punguza munkari mkuu
 
nini maana ya jangili kwanza?

Hebu mrejee Songoro hapo ndio uulize maana ya jangili! Mie nimemjibu kwa maana hiyohiyo aliyomaanisha yeye hapo kwenye red:

"Usi kariri kuwa The Hague hupelekwa ma Rais Pekee, Rejea Congo na Kenya ( wapinzani wachochezi) utagundua milango iko wazi kwa yoyote, usije shangaa Padri jangili wa wake za watu au Makengeza Disco Joker mmilik wa Madanguro akanyea Debe Uholanzi!"
 
Bujibuji umenikuna hapa. Hichi kijamaa kinapaswa kikanyee debe Guantanamo. Ukiachia mbali mauaji kiliingia madarakani kwa kuiba pesa yetu kwenye ujambazi wa EPA. Laiti tungewapa upinzani serikali ili Kikwete, Mkapa na Mwinyi washughulikiwe vilivyo ili uwe mfano kwa wengine. Kuna kipindi natamani atokee kichaa mmoja mwenye magwanda awafanyizie na kuwaramba shaba wote kudaadeki.

Angeaza kupelekwa mkapa kwanza kwa mauaji ya mwembe chai na znz
 
Yap, nadhani kuna haja ya CDM kutumia njia nyingine za kujipatia umaarufu, kwani kufungua tawi lazima waitishe mikusanyiko ya watu wengi?
wananchi wanahamasika wenyewe wanakwenda wenyewe wala hawabebwi na mafuso, so kwa mtazamo wangu askari polisi kazi yao ni kulinda wanachi, inabidi jeshi letu lijifunze kutoka kwenye jeshi la Misri wakati wa maandamano yaliyosababisha kungolewa kwa Mubaraka askari hawakuwapiga wananchi walikuwa wanawalinda wasizurike
 
Ukiona mtu anatetea yanayotokea sasa either ana undugu na utawala uliopo au ananufaika kwa namna yeyote na utawala uliopo au nduguye ananufaika. Ila kwa mtu rational hawezi kukubali yanayotokea leo Tanzania. Kwanini police waue watu badala ya kuwalinda??Itakuwaje wananchi nao wakianza kulipiza kisasi??? Utawala uliopo unatakiwa kufikiria upya, wananchi wamechoka!!!
 
Ndio maana sijawahi kutamani ku do na Polisi, naona kama wana nuka damu muda wote
 
...Anastahili kabisa kupandishwa kizimbani huyu. Kwa mauaji mbali mbali yanayoendelea nchini yanayofanywa na Serikali yake kupitia vyombo vya dola.
 
What goes around comes around, hii ndio kanuni inayo endesha dunia, licha ya kuwa haipigi kelele. Tumesikia mauaji ya kutisha yanayofanyika kila siku sehemu mbalimbali CHADEMA wakusanyikapo. Kibaya zaidi amiri jeshi mkuu amekaa kimya, amefumba mdomo, macho, pua na masikio yake. Raisi hataki kufungua mdomo wake ili kuwakemea vijana wake, ambao yeye ni mwajiri wao mkuu.
Hataki macho yake yaone maovu na mauaji wayafanyayo vijana wake shupavu wa POLICCM.

Macho yake yamekuwa hayaoni damu inayomwagika. Tv zinaonyesha yeye haoni. Damu za Watanzania zinamwagika, zinatoa harufu kali ya damu, Kikwete pua zake hazinussi. Zimelevywa na harufu ya marashi ya Gucci. Wananchi wanaangamia, yeye kakaa kimya, labda yuko bize na kuomba appointment na masupastaa wa Marekani akapige nao picha..

Kwanini Kikwete hataki kumaliza tatizo hili la wimbi la mauaji yanayo fanywa na Polisi?Au ni yeye ndio anayewatuma?? Nitafurahi sana Kikwete akipandishwa kwenye mahakama ya kimataifa ya The Hague. Kikwete ni mkandamizaji wa demokrasia na ni mkiukaji wa haki za binaadamu.

Kikwete hatakiwi kuishi Magogono, sehemu pekee anapotakiwa kupelekwa akaishi ni kwenye gereza la mateso la Guantanamo Bay Cuba.
Bujibuji, katika sheria za jinai za kimataifa, hasa zile ambazo ziko chini ya the icc statute (Rome statute of International criminal court), kikwete hajafikia hadhi ya kushitakiwa katika mahakama ya kimataifa ya the hague....katika mahakama hiyo, kuna makosa machache sana ambayo yanaweza kuendeshwa, genocide, crimes against humanity, war crimes and crime of aggression (ambayo bado hadi kikao kitakachokaliwa mwaka 2017). haya ndiyo makosa pekee anayoweza kushiitakiwa mtu pale the hague.

ili mtu ashitakiwe na genocide, anatakiwa awe amesababisha, ameshiriki au ameshauri etc kufanyika mauaji yenye lengo la kuteketeza kabisa kikundi fulani cha watu either kabila,rangi, utaifa etc (mens rea yake iwe ni destruction/termination of a particular group of people). mfano wake ni kwa watusi rwanda na kwa wa amenia na waturuki etc, na kabila la wa Roma kule ulaya na wayahudi kipindi cha hitler.

ili mtu ashitakiwa kwa crimes against humanity, anatakiwa awe amefanya, amesababisha widespread or systematic attack against a civilian population, mfano wake ni ule wa zanzibar kipindi kile...hayo maneno "wide speread or systematic"yanachukuliwa kwa maana yake sana...kwasababu idadi ya watu watakaokufa, jinsi maandalizi ya uuaji yalivyokuwa yamepanga systematically na yalivyosambaa....angalia zanzibar kipindi kile walivyouawa (lakini sasa icc statute ilikuwa bado haijakuja in force hivyo haitakuwa na nguvu kwao). mauaji yale ya Arusha yalitaka kufikia hapo...watu wachache tu wakiuawa huwa inatakiwa washitakiwe kwenye mahakama hizi zetu tu, na hata kama vigezo vya kupelekwa kule vimefikia basi at least mwaka mmoja huwa unaachwa kwa principle of complementarity ili kuipa nchi nafasi kupeleka mahakamani wale waliofanya makosa hayo.

war crimes ni makosa mengi ambayo sitaeleza hapa yanafanyika vitani. hapa tz hayapo kwasababu hatuko vitani. crime of aggression bado haijaanza kufanya kazi...mfano wake ni kama vile marekani ilivyovamia iraq etc.....

katika makosa yoote hayo, mtu mwenye mamlaka husika ambaye alikuwa na mamlaka ya kutoa command siku ya tukio, kama atakuwa amefanya uzembe, amecommand au hajachukua hatua yeyote kuadhibu watenda makosa ili kuonyesha yeye hakuwa pamoja nao, anaweza kushitakiwa kama mkosaji tu katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai...this is what they call command responsibility where the commander of the peoople becomes responsible for the wrong acts of his subordinates....

sasa kwa hapa, huwezi kusema jk alikuwa direct responsible kutoa command siku ya matukio kama ya Arusha na hilo la mwangosi...jk is too far to be caught on this...ambaye anaweza kuwa responsible as a senior leader ni IGP MWEMA PAMOJA NA MKUU WA POLISI WA IRINGA. hawa wako responsible kabisa kimataifa na kama wangekufa watu wengi wakafikia hadhi ya the hague, Fatou (ambaye yuko sasa badala ya ocampo) angeshatuma tume kuja kuchunguza mara moja. hawa watu wawili ambao nimewataja, IGP MWEMA NA MKU WA POLISI IRINGA (ambaye alikuwepo kwenye tukio) walikuwa na nafasi ya kutoa command/maelekezo ya nini cha kufanya na nini si cha kufanya wale polisi wadogo wavuta bangi. kutofanya hivyo wao pamoja na wauaji wako kwenye kikapu kimoja.

THE PROBLEM IS: ndio maana tunasema ICC statute iwe adopted hapa katika sheria za tz ili makosa hayo niliyoyataja na ingredient zake zote ziwepo kwenye penal code yetu...kwasababu hapa hatutawakamata kwa sheria zetu hizi...kwa penal code ya tz, hatutampata IGP WALA MKUU WA POLISI IRINGA, hata yule aliyeonyeshwa kwenye picha anaua atapata tu manslaughter ambayo hata miaka mitano haitafika nakuhakikishia...na zaidi ya yote, anawezatoka kwa nolle kwasababu yuko upande wa serikali.

nimeeleza kwa haraka sana kwasababu nafasi ni ndogo na siwezi kuongea yote...ila kwa kifupi, IGP NA MKUU WA POLISI IRINGA wanalazimika kujisafisha kwa kuwaadhibu kisawasawa wale polisi waliofanya hivyo, ikiwa pamoja na kuwafukuza kazi na kuwapeleka mahakamani kama raia tu wa kawaida kwasababu sidhani kama kosa hilo litaenda kwenye court martial zao zile za kipolisi. tatizo linakuja wapi, mwangosi alifia miguuni mwa RPC, RPc anamjua kwa sura na cheo nani alifyatua na yeye alikuwa anatoa maelekezo pale..yule polisi mdogo asingefyatua lile bom mbele ya mkuu wake bila melekezo.
 
eti kiingereza cha "udhaifu wa kiti cha urais" ni kipi? maana naogopa kutolewa nje ya ukumbi nikitumia maneno ya kiswahili chetu kitamu na adhimu!
 
Usi kariri kuwa The Hague hupelekwa ma Rais Pekee, Rejea Congo na Kenya ( wapinzani wachochezi) utagundua milango iko wazi kwa yoyote, usije shangaa Padri jangili wa wake za watu au Makengeza Disco Joker mmilik wa Madanguro akanyea Debe Uholanzi!

umenena vyema, tatizo watu wanaongozwa na chuki mpk wanashindwa kuangalia
mambo pande zote, wana base upande mmoja.
 
Hahaha father of all nimefurahi kusikia sauti yako leo ukiwa unawasapoti makamanda nilijua we ni mtu wake na ***** mngine b.membe eti ndo rais ajaye ccm hawa wamechanganyikia,wakimweka membe cdm inamweka heche ndo ushndi tunapata.

CCM watamsimamisha Suleiman Kova kugombea urais 2015
 
Kikwete afunge hapa hapa Bongo. Ningependa awekwe jela moja na yule mzee aliyefungwa maisha na watoto wake.
 
Umeipatapata hii??? Facts pia zipo

Back
Top Bottom