Nitafsirie kikwenu mnasemaje hivi?

نعلن أن العداوة بيننا وبينهم arabic
Nous déclarons que l'hostilité entre nous et entre eux! french
Bonjour madame Pearl!.
 
Kuna baadhi ya thread nahisi zinataka kujua member flani ni wa wapi.../uchunguzi....TISS
 
waswahili bwana.. mimi nikijua kabila lako itanisaidia nini? Kuna watu humu wanazungumza lugha ambazo si za kwao! Nimeomba mtu anitafsirie hilo kwa sababu nataka niliseme kwa lugha mbalimbali....

TUKUFUMUSYA UBULUGU, BWITU NAABENE!

au..

declaramos enemistad entre nosotros y ellos
 
Kuna baadhi ya thread nahisi zinataka kujua member flani ni wa wapi.../uchunguzi....TISS

Bro this is too low......! Sasa wakijua kuwa mimi ni mbena TISS inawasaidia nini wewe? mbona unataka kuleta mambo ya Kitusi na kihutu hapa?

Kwa haraka haraka nilichofahamu mimi, kwa sababu MM huwa ni mwandishi wa makala, mashairi, tenzi etc etc......pengine kuna kitu anaandaa anataka title yake aiweke kwa lugha mbali mbali, the makali hizo zikasambazwa mahali fulani tena zikiwa na lugha ya title inayofahamika huko kwako! nothing else mkuu (though mimi si msemaji wake)

MM chukua hii hapa;

''Twitangasa ifita, ufwefwe navene'' ......Bena!
''Twaitangasa fita yafwefwe naavene.....Hehe!
 
现在,我们创造敌人在我们 之间和他们,

约瑟夫
 
he he ngoja nijalibu na hii lugha ya mama manake ndio naijua "tukutangasya ubwite uswe na bhabho" mwee.. nadhani ni hivyo
 
Ubhwalwa bhwangu unwile,imisikaki jangu ulile,ingapo jope ukwesile ngute tubhuke ukute mma,asee sikwakukwaga inyali.
 
Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
`I am very mbifile sana,if its a matter of migoha tusogola hela'.
`Ino yetwitangasa ifita,ya wewe na avene' buladifulu ya mbifile.
 
Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
`I am very mbifile sana,if its a matter of migoha tusogola hela'.
`Ino yetwitangasa ifita,ya wewe na avene' buladifulu ya mbifile.
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tunatangaza uadui, kati yetu na kati yao!
`I am very mbifile sana,if its a matter of migoha tusogola hela'.
`Ino yetwitangasa ifita,ya wewe na avene' buladifulu ya mbifile.

hahaha ahahaaaa, kweli JF ni nyumba ya kila kitu!! ndaga!!! na huyo adui afwile kabisa
 
waswahili bwana.. mimi nikijua kabila lako itanisaidia nini? Kuna watu humu wanazungumza lugha ambazo si za kwao! Nimeomba mtu anitafsirie hilo kwa sababu nataka niliseme kwa lugha mbalimbali....

TUKUFUMUSYA UBULUGU, BWITU NAABENE!

au..

declaramos enemistad entre nosotros y ellos
Twipute..... Malafyale tukufugama nkyeni mmyako tukusuma utuswege. Keta lino abandu bako bikulondeswa inongwa isya bwite na bapalamani babo. Kungamu ja kilisiti gwa nasaleti mbepo uju nnyali atoligwe, kangi agwile mwa sumbi. Mungamu ja kilisiti tukusuma nu kupyelesya. Ameni.
 
Back
Top Bottom