Nitafikisha Miaka Mitano Kama Memba wa JF

Katika wiki tatu zijazo nitakuwa nafikisha umri wa miaka mitano kama mwanachama hai wa JF. Nilijiunga rasmi tarehe 10 October 2006, na katika kipindi chote cha uanachama wangu wa JF, nimeshughudia JF ikipanda sana na kujitofautisha sana na forums na blogus nyingine nyingi kama kisima cha mawazo ya kina, na vile vile chanzo cha habari nyeti zinazohusu mstakhabali wa nchi yetu.

Naomba mnipongeze kwa persistence yangu ya kuendelea kuwa mwanachama HAI wa JF miaka yote hiyo wakati kuna memba wengi sana kama Nungwi, Tibwilitibwili na wengineo wengi waliokwisha toweka hapa.

timbwilitimbwili na Nungwi,ni walimu walipelekwa shule za kata huko dareda maeneo ya Ufana..kipindi kile walikua chuo
 
5YearAnniversary.jpg
 
congratulations.jpg

Kwa hilo nikukubali kwani kuna ndoa nyingine huwa haziwezi kudumu hata kufikia umri huo, lakini wewe na jf, hongera sana
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom