Nitabu uchumi wa Z’bar kukuwa,kwa vile viongozi wa Tanganyika ni wachoyo.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
[h=1][/h]Written by amini // 19/06/2011 // Habari // No comments

Night of Dubai

TUSIDAI MAFUTA KUTOLEWA KTK MUUNGANO,LAUMUHIMU NI KUVUNJA MUUNGANO
TUKAWA NA NCHI VILIVYOMO NDANI YANI MAFUTA NA VYENGINE VITAJILINDA
WENYEWE.
Kama kweli Muungano huu ni uduku basi Zanzibar ingekuwa kama Dubai ktk
nchi za kiarabu, Nasema hivi kutokana na mifano hai ya Miungano ya
wenzetu na nchi kubwa kuipiga jeck nchi ndogo kiuchumi na kimaendeleo?
Jee tuangalie huu mfumo wa Muungano wetu wa Tanzania/Tanganyika na
Zanzibar uko hivyo?.
Nachukuwa mfano wa Dubai, Dubai ni nchi ndogo yenye watu kidogo
2,2620,00 na yenye km 4,114 sq m 1,588.4 haina utajiri wowote wakuweza
kujivunia ukilinganicha na inchi nyingine za kiarabu ambazo hutegemea
uchumi wake kutokana na mafuta.
Lakini katika nchi za kiarabu na UAE zimeamuwa kuisaidia Dubai na
kuwaruhusu kufanya Free-Port ambazo nchi nyingi za kiarabu hufanya
shopping zao Dubai bila ya uchoyo wa kuwaingilia biachara hio kwa vile
wanajuwa kuwaingilia ni kuuwa uchumi wa Dubai na watu wake.
Sasa angalia hapa petu Muungano wetu na mapenzi watupendayo Watanganyika
kuinyanyua Zanzibar kiuchumi yenye Ardhi ndogo na watu kidogo? Tukija
katika uchumi tunao utegemea Wazanzibar, uchumi mkubwa tunao utegemea
Wzanzibar ni Bandari? Bandari ya Zanzibar ilikuwa ndio uti wa mgongo wa
Zanzibar? lakini kutokana na choyo cha Serekali ya Tanganyika
waliihamicha kiuchumi Bandari ya Zanzibar na kusukuma uchumi kwao.
Na si hivyo tu, bada yake walitutengenezea pipe ya mrija wa TRA ili
kufunza mpaka tope za mapato ya ukuchanyaji Zanzibar na kuzihamishia
Tanganyika, mbali ya hayo tu ikaja usanii wa mafuta ya Zanzibar? mafuta
hata hayaja chimbwa tayari wamechatuma wanafunzi US kwenda kusomea
utaftaji na uchimbaji wa mafuta, na kutuletea mkakuzi ambaye
wamechampika ujambazi kuja kutuhadaa na kutudanganya tukubali
kuya-realise mafuta yawe ya Muungano.
Sasa kama kweli hawa ni wema na ni ndugu? udugu wetu unakuja kwa
kutubinya tu na sio kusaidiana kwenye shida? jee sisi nilini tulio
wapelekea mkaguzi wa rasilimali zao au wao kusema kuwa mineral zao Gus
ya Songu Songo ,Tanzanet,Zahabu na makaa ya mawe kuwa ni ya Muungano?.
au Muungano wetu na udugu wetu ni ule wa kuwalicha sumu na chuki
viongozi wetu wa ccm/smz Dodoma ili waweze kuwatii yao yende?.
Nilazima viongozi wetu wa SMz wa-weak-up ili kuinusuru Zanzibar na
Wzanzibar kumezwa na majambazi hawa wa Serekali ya Tanganyika, washane
na kuhisi Dodoma ndio kwenye risk yao, kumwagwa Jeshi kila siku ya
uchaguzi kuwa lazima wakala wao akae kwa vile tumecha msafishia nilazima
afuate matakwa yetu?
Hii ni mbaya tena ni Hatari kwa Zanzibar na kizanzi chetu cha
Ki-Zanzibar,sikwamba hawa watu wana mapenzi na nyiyi no, wanawatumilia
tu ili yao yawaendee. mtu ni kwao unapo kataa kwenu au ndugu zako
inamana huna maana na wala husaminiki kiheshima.
Wzanzibar tushikamaneni tudai nchi yetu na sio mafuta tu, laumuhimu
nikudai nchi na tukicha pata nchi yetu vilivyomo ndani ya nchi
vitajilinda wenyewe, huu Muungano ni ubabaichaji tu wa Majambazi wa
ki-Tanganyika.
Kama kweli wana nia safi hawa wasingali ipindicha nchi yao na
kujipachika jina la Tanzania nani alio wambia wafanye hivyo wakati
Tanganyika iko ktk makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar? hii sio kwenda
kinyume na makubaliano? hivi sasa hakuna Muungano kuna utumiaji wa
nguvu na ujambazi tu.
Wzanzibar Muungano tumecha ukana tokea kufa kwa Tanganyika ililobaki ni
kutumiliwa nguvu zakijeshi tu, na kukandamizwa nchini ya mwevuli wa
ccm/smz lakini wakibadilika leo makada wa ccm/smz basi itakuwa ndio
indipendence day ya Wzanzibar tumechoshwa na nyiyi.
Wzanzibar sio Watanganyika kuwa wapewe mvao wa Kanga na Fulna za ccm
wauze hutu wao na nchi yao no, wzanzibar tuko imara ingawaje tuko ktk
kizuwizi cha Kambi za Jeshi zilizo chawanywa kila kona ya Zanzibar
lakini Zanzibar ni nchi yetu na ina historia ambayo sirahisi kufutika no
matter kumiminwa Watanganyika kwa wingi ili waweze kuja kupunguza idadi
ya Wazawa lakini tunamshukuru Allah kwa alivyo tumba kuwa tunajuwa.
Mzanzibar hata awe mweusi basi unamjuwa huyu ni Mzanzibari, kuna tafauti
wa weusi wa Kaa na Ini la Ngombe weusi wa Wzanzibar ni ini la Ngombe,
na jengine nikuwa siahalabu sana kuskia Mzanzibar kaolewa na Mbara labda
kuolewa kwa kutaka nyewe za singa hili halitumizi kishwa kwa vile damu
ya Kizanzibar hatuitupi anabakia kuwa ni Mzanzibar.
CCM/SMZ BADILIKENI TUINUSURU ZANZIBAR KUMEZWA NA MAJAMBAZI.
 
..kwanini hamna shukurani kwa kupatiwa umeme wa bure toka Tanganyika?

..msidanganywe kwamba kuna wajomba watatoka Arabuni kuja kuwasaidia.

..Al Adawi mmiliki wa Dowans ni Mzanzibari mwenzenu, ingawa sasa hivi ana uraia wa Oman.

..nini kilichomfanya asije kufunga mitambo yake Zanzibar badala yake akaja kudhulumu huku Tanganyika?

..pia si kuna huyu Bakhresa na tajiri kupita wote Tanganyika na Zanzibar. kitu gani amewekeza huko Zanzibar kusaidia vijana waache kukaa kwenye vijiwe na kubwia unga?

..vunjeni tu muungano, lakini hao "Ankal" mnaowategemea mtawasubiri milele na njaa zenu.
 
Ni mpumbavu tu anaweza kufikiria kuwa kuna mjomba toka ugaibuni atakuja na kuiendeleza nchi yake. Tazama wanajifananisha na Dubai......! ushindwe na ulegee....dunia hii tunapita, ipo siku utakufa.Kwa ubaguzi na tamaa zako sijui utakimbilia wapi.
 
Back
Top Bottom