Nitabanana nao humu humu tu!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Oscar-Pistorius-Worlds-2011-400m-SF_2642784.jpg
 
huyu jamaa huwa anashiriki kili marathon (nilimuona 2009). kuna marathon alishawahi kushiriki wenzie wakapinga ushindi kwa madai kua hiyo miguu yake inapata less friction na kumuwezesha kuwa faster. rufaa ilikataliwa lakini.
tatizo letu sie excuses,kuna dada alikatwa miguu just chini ya kinena,ni fundi magari, ana mume na watoto 2! ila mianamke mizima inajipanga ubungo kuomba!
 
in addition to that, walioamua kufanya kazi basi wanaona kutoka na waume za watu ndo dili
shame on them!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tena waume za watu wenye umri wa babu zao. na vijana nao siku hizi ma-sugar mummy ili walelewe! mi nikiona mlemavu anauza chochote kwenye foleni nampa buku,ila omba omba siwapi hata mia!
in addition to that, walioamua kufanya kazi basi wanaona kutoka na waume za watu ndo dili<br />
shame on them!!!!!!!!!!!!!!!!
<br />
<br />
 
Penye nia pana njia; huyu bwana ana miguu bandia na anashinda lakini sisi wabongo na miguu yetu kila siku ni watalii kwenye mashindano!! Tumerogwa na aliyeturoga amekufa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom