Nissan X-Trail Sport

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
101474075.jpg
101474355.jpg
101474199.jpg
101474453.jpg


Model: X-Trail, Body type: Estate, Petrol, Year: 2002, Colour: Metalic Silver, Engine size: 1998cc, Mileage: 70,000. Nissan X-trail sport good condition, Air condition, fog light, electric/auto windows, cd player, new tires, back seats cup holders. full service in october new brakes and discs all round 4wheel and 2wheel drive has automatic 4wheel good family car with plenty of space.
Price: TSHS 10,590,000
ROBBINS ENTERPRISES
 
Bei inahusisha gari + usafirishaji kutoka UK hadi Dar bandarini
Kama gari hiyo ya 2002 na haina matatizo ya kiufundi ni dili nzuri, ila bahati mbaya kwangu itaniwia ngumu based on personal reasons. Hope wadau watachangamkia dili.
 
1.Million 8 mzee maana mpaka ujumlishe na kodi ina run kwenye 18m so ni wazi " I could have got a new one already imported for that price"
2.ntakulipa kwa letter of credit kama upo tayari ili niweze kukagua gari kama linavyoonekana hapo kwenye picha,na pia ni level5 or 4?(kwa upya)
 
Inaonekana kama Transmission yake ni Manual na sio Automatic. Ni kweli? Kama ingekua model ya 2003 alafu iwe automatic tungezungumza biashara.
 
Jamani hii ni biashara acheni madharau kama huna pesa au hujaipenda gari kwa sababu zako binafsi basi usijaze thread kwa blaablaas:dance::peace:
 
Wakuu Jamaa anauza gari kwa bei rahisi sana kwa sisi tunaujua magari hiyo bei ni rahisi mno,kwa sababu niliulizia bei kwa yard hizi xtrail zinarange kati ya 22-24m so kama ukinunua + kodi~18m ni cheap basi nunueni wadau
 
70,000 miles ni kama km ngapi vile?

Na hadi kuingia barabarani itabidi kiasi gani kiongezwe?

1 km = 0.62miles,
Bandari inaweza kukucost roughly kama 6m to 7.5m coz ni ya mwaka 2002, na kama wewe ni mfanyakazi wa serekali una exception basi ni rahisi kupita maelezo!
 
Wakuu Jamaa anauza gari kwa bei rahisi sana kwa sisi tunaujua magari hiyo bei ni rahisi mno,kwa sababu niliulizia bei kwa yard hizi xtrail zinarange kati ya 22-24m so kama ukinunua + kodi~18m ni cheap basi nunueni wadau

Wacha U-kibwetere mkuu!
We mbona hununui kama Cheap??
 
Hizi gari ziko vizuri sana, acheni uzushi na zinakula mafuta vizuri ni SUV ambayo iko kati.
 
Back
Top Bottom