Nissan x trail - Naomba Ushauri

erique

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
582
565
Wadau habari zenu waote

Tafadhari naomba ushauri wenu,kwa yul anayefahamu habari za magari ya aina ya Nissan.

Mimi najipanga kununua gari,na ki ukweli nimekua nikivutiwa na mtazamo wa gari ya aina ya Nissan x TRAIL.Lakini nimekua nikisikia maneno huko mtaani kwamba ni mabovu na spare zake hua hazipatikani kwa bi nafuu.Ninaomba mnishauri (hasa kwa wale wenye utaalamu na magari haya)juu ya hili swala kama kuna ukweli wowote juu ya haya maneno.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Si mabovu kama unavyosema ni gari nzuri tu na pia hazina shida kabisa, ughali wa spare part ya nissan mara nyingi hukutani na za magumashi,
na ukishavalisha kipuli unauhakika na kuwa nacho kwa muda flani, tofauti na za toyota unaweza ukanunua shockup ya toyota na ukaibadilisha tena ili hali mwenye ya nissan bado haijazingua, Nissan extrail nadhani walishawahi kuzifanyia testing hizi gari africa tena tanzania kabla hawajazileta huku--kuna dealers wao wako balabala ya nyerere nadhani wanafanya service za nissan go and see them.....
 
Nissan Xtrail (2.2DCI) nyingi sana Bongo sasa hivi ..Kwanini spares ziendelee kuwa juu?

nissan-x-trail-pic-1171784760-large.jpg
 
Mkuu, ubora wa gari ni matunzo tu, hakuna zaidi ya hapo. Haya magari yote unayoyaona yanatembea mitaani yana uzuri wake na kasoro zake. Kama ilivyo kwa binadamu, hakuna gari lilil perfect. KIla gari utakaloliona barabarani basi ujue kampuni inayolitengeneza inaweza kufanya hivyo kwa sababu wanapata faibda na wanapata faida kwa sababu watu wanayanunua magari yao na kuyatumia. magari yote ambayo hayafai yameacha kutumika na hayatengenezwi tena... so kama unataka kununua we jiandae kwa matunzo tu
 
Nissan Xtrail (2.2DCI) nyingi sana Bongo sasa hivi ..Kwanini spares ziendelee kuwa juu?

nissan-x-trail-pic-1171784760-large.jpg
mkuu hata red label nyingi sana lakini bei ipo juu

suala hapa ni genuine spares, na nissan is an expensive car

mengine ni kwamba spare za nissan zinalast longer zikiwekwa
 
Mpaka ukipata hiyo pesa ya kununuwa, hilo gari litakuwa limeshapitwa na wakati. ni vizuri ukaomba ushauri ukiwa na pesa mkonono, na sio kula ugali kwa picha ya samaki.
 
Mpaka ukipata hiyo pesa ya kununuwa, hilo gari litakuwa limeshapitwa na wakati. ni vizuri ukaomba ushauri ukiwa na pesa mkonono, na sio kula ugali kwa picha ya samaki.

cheki mashine ya nissani xtrail kwenye attachment apo, kweli wengine tutakula ugali kwa picha.]cheki mashine ya nissani xtrail kwenye attachment apo, kweli wengine tutakula ugali kwa picha. dola 9000 FOB
 
Attachments

  • nissan xtrail $9000 FOB.j.jpg
    nissan xtrail $9000 FOB.j.jpg
    28.3 KB · Views: 319
cheki mashine ya nissani xtrail kwenye attachment apo, kweli wengine tutakula ugali kwa picha. dola 9000 FOB
Iyo mpaka uiweke mkononi uwe na millioni 18, yani 18,000,000/= sawa na toyota cresta gx 100 2 na robo.
 
Attachments

  • nissan xtrail $9000 FOB.j.jpg
    nissan xtrail $9000 FOB.j.jpg
    23 KB · Views: 219
  • nissan xtrail $9000 FOB.j.jpg
    nissan xtrail $9000 FOB.j.jpg
    26.2 KB · Views: 210
Kama unamudu bei ya kulinunua wewe nunua tu, usijali ughali wa vipuli vyake. Kwa sasa aina hiyo ya magari ni mengi. Ukiona aina ya magari barabarani mengi barabarani, fahamu kuwa hayana matatizo. Hata kama spar hakuna, wafanya biashara wakiona yamekuwa mengi wanaleta spare kwa wingi. Zamani spare za Nissan ilikuwa mpaka uende Nairobi, sasa hivi sio tatizo tena.
 
Nissan Xtrail ni gari zuri achana na maneno ya mtaani. Spare zake ni ghali kidogo kwasababu ni genuine hakuna feki ukiweka zinadumu! Mimi natumia Nissan Xtrail naifurahia sana!
 
ni thread ya nafasi za kazi na tenda? or i am getting too old?
if not si pahali pa kujadili magari.
please somebody moves this thread to a more relavant position
 
Si mabovu kama unavyosema ni gari nzuri tu na pia hazina shida kabisa, ughali wa spare part ya nissan mara nyingi hukutani na za magumashi,
na ukishavalisha kipuli unauhakika na kuwa nacho kwa muda flani, tofauti na za toyota unaweza ukanunua shockup ya toyota na ukaibadilisha tena ili hali mwenye ya nissan bado haijazingua, Nissan extrail nadhani walishawahi kuzifanyia testing hizi gari africa tena tanzania kabla hawajazileta huku--kuna dealers wao wako balabala ya nyerere nadhani wanafanya service za nissan go and see them.....

Aksante sana
 
Back
Top Bottom