Nisome vitu gani niwe na CV Nzuri kwa Civil Eng.

bet master

Senior Member
Sep 5, 2014
101
23
habari wakuu mm nipo 3rd year civil eng sasa naomb mnisaidie nisome vokozi gani amabzo zinaendana na mm ilika Cv kangu apo baadaye kavutie na iwe rahisi kushawishi employer nikiomba kazi..naomba mniorozeshee nianze kujiaandaa mapema..mpka sasa nina cheti cha fm 4 na six baasi
 
maliza kwanza chuo...elimu utakayoipata hapo miaka minne ni tosha kukufanya uwe na uelewa mkubwa kwenye civil eng..
 
soma kile moyo unapenda, no matter what. ndo maana gates, allen, buffet, ma, zuckerberg, newton, galileo, pasteur, keynes, friedman, na wengine kama hao walfuata nyoyo zao na wakafanikiwa. follow your instincts! employers will need you.
 
you will be poor if you choose to be! Usisome ili uajiriwe mdogo wangu.... Anza kufikiria hata namna yakuanzisha kiwanda cha matofali ya kuchoma! hakuna aliyeumbwa awe mtumwa(employee) wa mwenzake! Badilisha mtizamo wako kwa sababu haitoshi tu kusema knowledge is power but aplication of knowledge is power so soma kwa manufaa yako siyo ya employer
 
Kama unapenda kubase kwenye BARABARA basi soma vitu hivi:- soil, ujue AUTOCAD,GEOTECHNICAL Engineering, ujue materials haya kwa undani zaidi LAMI,ZEGE,STEEL ukiwa fresh hapo hutasumbuka sana, na watakuona upo vzr ,pia procurement uelewe vzr
 
Maliza chuo kwanza, kazi zipo nyingi sana. Ila kazana kwenye software kama autocad na master series, pia mambo ya materials
 
Back
Top Bottom