nisifieni basi......

Hongera sana.

Ndugu yangu Rutta,masikhara pembeni tuweke,industry ya afya ina generate billions of money na matokeo yake kuna umafia mkubwa sana.Majuzi tu smithclyde glascome kampuni kubwa ya UK majuzi imepigwa faini kubwa marekani kwa ufisadi,bongo kwetu hapa madudu ya ajabu pia yanaendelea kaka,tusilaumu tu,tuchunguze,kama wamarekani wanaingizwa mjini.........
 
utakapoendelea kujibu huo uzi ndipo yatakapokukuta
ya mzee mwenzangu ASPRIN wiki jana.

unapenda sifaa eeh.

Bishanga na mimi leo nimejifaragua nikafungua uzi jukwaa la siasa title.........'watanzania wenzangu '.....nimejikakamua kweli nyie acheni tu.
 
Bishanga umenichekesha hadi basi, mie nadhani kuna siku huwa unakula akili kabla ya kuingia hapa.

Ngoja nikaucheki afu nikomenti lol
 
Ndugu yangu Rutta,masikhara pembeni tuweke,industry ya afya ina generate billions of money na matokeo yake kuna umafia mkubwa sana.Majuzi tu smithclyde glascome kampuni kubwa ya UK majuzi imepigwa faini kubwa marekani kwa ufisadi,bongo kwetu hapa madudu ya ajabu pia yanaendelea kaka,tusilaumu tu,tuchunguze,kama wamarekani wanaingizwa mjini.........

Hongera mkuu, na mie mdau Wa Afya ila kwa upuuzi Wa serikali kola kifaa kupata tabu hadi na vyumba vya upasuaji hakuna wagonjwa wanateseka, unarudi nyumbani depressed kila siku... Nimechoka!!
 
niambie baby kipindi unaiPost ulikuwa nchi gani? mwarabu wa katerero

ili kupata ujasiri wa kuingia anga za JLS ilibidi nifakamie kwanza kiroba,halafu nikavizia watu hawanioni wamelala fofofo ndo nikapost,chezeiya bishanga wewe kwa mastrategy.
 
Sikutegemea kama pumba ile umeandika wewe, ila poa sio mbaya umejitahidi.
 
Bishanga umenichekesha hadi basi, mie nadhani kuna siku huwa unakula akili kabla ya kuingia hapa.

Ngoja nikaucheki afu nikomenti lol

watashangaa ule uzi unakuwa na comment elfu kidogo, kumbe chit chat imehamia si hasa.

Mie si nshakusifia?.....twende basi ukajibu masuali yako!

Hebu niitieni Bishanga. Erickb52 na Kaizer waje huku tujadili ukaguzi. Siasa wataiwezea wapi?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom