Nisichopenda kabisa jijini DSM

Bajaj bila kuuandaa infrastructure...
Frame za maduka KILA KONA ya mji...
Marundo ya uchafu kila sehemu
......

mheshimiwa hata mimi hapo kwenye bold natatizika kweli......nyumba za kuishi zinabadilishwa tu kuwa za biashara!!!!
 
Ukusanyaji wa kodi ya kupaki magari wakati parking hawajatengeneza wao!

Hili linchi halina mwenyewe. yani manispaa inaamua tu kwamba leo mtaa huu atakayeegesha gari analipa,
 
benki hazina parking, na manispaa zina-take advantage ya kukamata magari ya watu walioingia bank na kupaki magari yao kwa tabu pembeni ya barabara
 
kama kuwepo na bajaji = kuwepo kwa walemavu,
Basi India wote ni walemavu, coz bajaji ni nyingi kuliko watu
Uku kwetu zipo tano na zote zinaendeshwa na walemavu ndio maana nikauliza hivyo. Mambo ya india mimi nayajulia wapi ndo wanipa taarifa sasa, sikujua
 
Tabia ya polisi almaarufu traffic kuongoza magari kwenye taa wakati taa zinafanya kazi!
 
Back
Top Bottom