Nishaurini nisiumie tena jamani..

2@ BADILI TABIA.. Asante sana kwa ushauri. MIMI nimejishusha na nimeanzisha mawasiliano nasubiri kuona changes.
 
2@ BADILI TABIA.. Asante sana kwa ushauri. MIMI nimejishusha na nimeanzisha mawasiliano nasubiri kuona changes.

Nimekwambia achana naye husikii? Mwanume mwenye gubu wa kazi gani wewe!? Nakupa miezi sita, lazima utakutana na kituko kingine utaniambia!
 
Level ya elimu yenu ni ipi?
Mmeanza mapenzi lini?
Huyo ni boyfriend wako wa ngapi?

My preliminary advise.
Usipoteze muda mwingi kumfikiria
Unless ni lazima usimpigie simu mpaka apige yeye (we get bored when you keep ringing us every 2 hours)
Bado wewe ni msichana mdogo sana. Don't bottle it.
Hata yeye bado ni mdogo.
Jikite zaidi kwenye kuendeleza your career and men will respect you.
Kama una vyodo acha (though unaonekana kama sio mtu wa kuboa)
Tafuta kitabu titled: Men are From Mars, Women are from Venus - kitakusaidia kujua jinsi wanawake na wanaume walivyo tofauti hasa kwenye mahusiano na jinsi ya kuishi na jinsia nyingine. Mpe na yeye akisome. B'se mnaonekana wote hamjui how to respond mnapokuwa kwenye hali kama hii. Kwa mfano unasema tayari umeshajishusha simply because of him. Never do that because next he will do exactly the same akitegemea utajishusha.
 
ninaona nyote mnatwanga maji kwenye kinu.......get real baby and move on.............................wa kwako yuko barabarani anakutafuta.............
 
Mi nakasirika ninapoona m2 anaomba ushauri anaandika kwa maumivu mpaka anakosea alafu wengne ni kupondea 2,its boring hujaombwa kutoa wazo kama haupo kiushauri,leave other wampe ushauri.Ok back 2 wewe muomba ushauri,ili muishi uzuri kwenye uhusiano bs jengeni tabia ya kuambiana ukwel unaoambatana na busara,tel hm kwamba kwake hupend 1 2 3 na why,naye akuambie,muyajadili na mfikie muafaka,c vyema ufike mahali mmoja kujishusha hata kama huna kosa,ni kujadili cku ya kwanza ukiona hamwelewani bs 2lia mtafute kesho yke ujaribu tena,na kama ukiona kutokana na upeo wako kua kuna mabavu yana2mika huna budi kulivua pendo manake kama u cnt change hm now kwenye vi2 open bs mambo yatakua magumu zaidi kwenye ndoa.yote kwa yote cwez kukonclude uamuz wa mwsho upo kwako na muombe Mungu cna atakufulia ki2 wala c mbali.pole cna.
 
DOGO bana, we una miaka 21 na demu wako ana miaka 24!!! mwenzako keshakomaa wakati ww bado utoto unakusumbua na hivyo anaamua tu kukuchezea kisaikolojia...angalia unavyotapatapa wakati issue ni simple sana ! Na wewe mchezee kisaikolojia like this, kwanza uchune kama cku 3 hivi bila kukol wala nini...ingawaje am afraid kama utaweza. Na ukiweza, cku ya tatu tafuta jina la msichana linalofanana na jina la msichana wako. Assume gal wako anaitwa fatma; wewe andika msg kama hii "am sorry fat'hiya, let's cancel the trip untill next weekend. By da way, nimeona ni much better for zanzibar than bagamoyo...!" ukishamaliza, send hii msg kwa gal wako na yeye picha atakayopata ni kwamba umekosea kumtumia yeye na uliyemkusudia ni FAT'HIYA lakini ulituma kwake kv FATMA na FAT'HIYA ni majina yanayoongozana kwenye phonebook, na kwakuwa haukuwa makini ndo maana ukatuma kwake (fatma) badala ya kwa fat'hiya!! Kama mpenzi wako bado anakupenda, atatumia kama dakika tatu hivi kui-digest hiyo msg na baada ya kushindwa kuvumilia, ataenda hewani ama kwa kupiga au ku-beep ili apate ufafanuzi! Hata akipiga, usipokee, na badala yake kata kisha tuma msg hii "nani mwenzangu? can't talk coz' niko kwenye gari....!" Nakuambia, hapo atafura kwa hasira na kisirani mithili ya mbogo majeruhi! shenzi taipu, umefuta namba yake halafu una mipango na hawala yako fat'hiya ya kwenda unguja?!hilo ndilo atakalowaza! What next, kama bado anakupenda, lazima atie maguu gheto huku akiamini anakuja kuvuruga mipango yako na fat'hiya bila ya kujua kwamba ndo anajileta mwenyewe kwenye tundu! Asipo-react, pamoja na kumtia mavivu kote huko, basi fahamu kwamba, hapo huna chako mpwa, na hapo utatakiwa kufanya ONE of the TWO decision making. Kujisogeza pembeni taratibu (usiache kwa mbwembwe, utaona aibu siku ukitaka kurudi tena) au usubiri kupewa cha mbavu kwani nafahamu kwamba baadhi ya watu wao raha yao ni kuachwa....yenyewe mpaka ipigwe chini kwa maudhi ndipo ijue kwamba kweli haitakiwi. Ukiwaambia, utawasikia, hujawahi kupenda; stupid...wewe umezaliwa nae huyo!
 
Mbona hujaumizwa?
Ulipaswa kurudi, ulitingisha kiberit kumbe kimejaa. We mpigie simu mara nyingi. Hajakuacha mbona huyo. Unaongea kama ndo ushaachwa.
 
1.Achana nae ana visa, anataka yeye ndio aabudiwe au abembelezwe NO. HAKUFAI
2.HUYO BAADAE ATAKUJA KUKUPA SHIDA SANA,UTAKUWA MTUMWA NDANI YA NYUMBA YAKO MWENYEWE YEYE AKIWA MFALME.
3.HATUOI ILI KUFULIWA NGUO????
4. MARUFUKU,KUMRUDIA........UNASIKIA EEEEEH, KWANZA ANAKWAMBIA ADUI.
5.WANAUME SISI KAZI YETU NI KUWABEMBELEZENI NINYI HATA MIEZI 3 NABEMBELEZA TU,YEYE ANATAKA ABEMBELEZWE AMEKUWA BINTI?????......................UMRFANYA VEMA KUONDOKA,KESHO NA KESHO KUTWA AKIKUOA KILA SIKU ANAKUFUKUZA UENDE KWENU HADI ABEMBELEZWE.
 
Back
Top Bottom