Nishaurini mwenzenu

mbisom ramos

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
811
393
Nina mpnz wangu nampenda sana,nampatia kila kitu anachotaka ila nashindwa kuamini kama ananipenda kweli kwani tabia zake hazieleweki! kwangu anakuja akiwa na shida 2,wakati mwingne anaongea na wanaume zake mbele yangu,pia kuna uvumi kuwa amepiga picha za utupu na zishasambaa....!!!! nashindwa jamani
 
Sasa wewe,unataka ushauriwe nini?Yote hayo unayaona ya kawaida mpaka ushauriwe?Hebu tumia akili!
 
anakuja akiwa na shida tu!!!!!!!!!!! ina maana you are not there hadi anakuja wakati wa shida, pia uvumi wa picha za utupu ina maana huna uhakika, proove kwanza hili. kisha uje kwa ajili ya ushauri
 
yaani mpaka anaongea na wanaume zake bado unatafuta ushauri nini cha kufanya?

Mteme huyo dada.....
 
Nampa kila kitu ila mapnz mpaka nimlazimishe thn amekuwa akitaka vitu ambavyo viko nje ya uwezo wangu@sonwin
 
???!!!! Sa kama ushauidi wote unao unasubiri nn tena hapo.Au mpaka Dr akwambie una vvu
 
looks like anakuchuna tu but hana mpango na wewe... soma alama za nyakati na chukua hatua
 
hadi anapiga picha za utupu? Na zishasambaa? Utakanumbalaiziwa sasa hivi, lulu huyo.

Don't say, i didn't warn you.
 
Tayari kila mtu na mpango wake ila anaongea upuuzi kuhusu mimi

umeshasema kila mtu na mpango wake,ina maana mmeshaachana,sasa unaendeleaje kumuita mpenzi wakoooooo!!!na unasema anaongea upuuzi kuhusu wewe,hivi ulidhani ataongea mazuri kuhusu wewe?kwa nini unasikilza hayo anayosema kwa watu?we mtu akianza kukuambia fulani kasema hivi juu yako,kabla hajamaliza kuongea mkatize mwambie tena huku ukitabasamu,kuwa huitaji kuambiwa lolote juu ya huyo mpenzio ex!
 
jibu tayari unalo sema unaogopa kulifanyia kazi, unampenda lkn unaogopa kumuacha japo ushajua anakuibia, pika moyo konde dogo achana nae
 
Nina mpnz wangu nampenda sana,nampatia kila kitu anachotaka ila nashindwa kuamini kama ananipenda kweli kwani tabia zake hazieleweki! kwangu anakuja akiwa na shida 2,wakati mwingne anaongea na wanaume zake mbele yangu,pia kuna uvumi kuwa amepiga picha za utupu na zishasambaa....!!!! nashindwa jamani

duuh ashakua porn star huyo:happy:
 
kwa kweli imefikia hatua watu wanadai ushauri hata pale hawajatatizwa ,..
 
kama vp akapewe kazi phonerotica.com. Hahahaha!
Ukiona kiza kinazidi sana ujue nd'o kunapambazuka.
 
Back
Top Bottom