Nishaurini jamani, Location gani nzuri kwa biashara ya HARDWARE(DSM & Pwani)

Weweeeeeee hao wapo juu k/koo hapo utawakuta kwenye pamba nyepesi kama unamtaji wa kuruka China na Thailand ingia huko kwenye pamba nyepesi
Hahahaaa.Nataka kuleta mapinduzi.Isitoshe najisikia sina hobi ya pamba nyepesi wala fudi ndio maana nikachagua huku kwenye kujenga.Halafu wote ambao mnaendelea na ujenzi kuanzia wewe Fidel itabidi mniunge uteja.
 
Kigamboni kunafaa na location nzuri ni njia ya kuelekea Kibada pale njia panda ya Dar es Salaam zoo na hata kule mbele zaidi, Pia kata ya vijibweni na hata ile njia ya kuelekea Kimbiji.
 
Habari za kazi wapendwa wote wana JF.
Ninaamini hapa kuna wazoefu wengi wa masuala ya biashara au Idea yoyote ya HARDWARE.Ninampango wa kuanzisha biashara hii ya hardware(vifaa vya ujenzi na umeme) na kwa sasa nipo kwenye Research ili nifanikishe malengo.
Naomba mniambie ni sehemu gani nzuri inalipa kama ni hapa katikati ya jiji au pembezoni ya jiji.
Pia kama una anything i.e ushauri,maoni,maonyo au maelekezo yoyote kuhusiana na biashara hii usisite kunieleza.
Asanteni sana and Iam looking forward to get great things from great thinkers.

Hahahaha! 2010 tuko kibiashara zaidi.
Ngoja nindelee kuangalia mtiririko afu mi ntakuwa wa mwisho kwa ajili ya hitimisho!
 
Hahahaha! 2010 tuko kibiashara zaidi.
Ngoja nindelee kuangalia mtiririko afu mi ntakuwa wa mwisho kwa ajili ya hitimisho!
Ninachokuomba utambulisho uwahi mapema zaidi.Nimeambiwa pale mwenge NHBRA kuna U-Rombo mkuu,mashati nk.
 
:D:D
naona UNYANYAPAA WA WAZI KABISA KWA NDUGU YANGU KAIZER
Nisamehe Kaizer,sikuwa na nia hiyo.Aftaloo nyerere alitukataza kupanda basi la makabila.
Lets talk Business.Mwaka huu ni kibussiness zaidi.Tunavuka mipaka ya kabila hadi uchina tutafika.lets put our hands tugeza!
 
TUGEZA TUNAWAKILISHA!...hivi wewe uko siriaz na hiyo biznec?nataka tuongee kiproffessional zaidi
 
TUGEZA TUNAWAKILISHA!...hivi wewe uko siriaz na hiyo biznec?nataka tuongee kiproffessional zaidi
YES I CAN!
Iam veeeery veeery veeery siriaz.Please I need your help especially you wapwaz na mabinamuz(lijendis & guests sijawasahau).
Hata ukisema nikuone Private nipo tayari ili mambo yaende.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom