D Dickson John Mshindo Member Jul 27, 2012 5 1 Jul 29, 2012 #1 Upepo unaovuma ktk vikao vya bunge kuhusu viongozi wa wizara ya Nishati, Je taasisi husika zinachukua hatua stahili kwa wakati? Nini kifanyike?
Upepo unaovuma ktk vikao vya bunge kuhusu viongozi wa wizara ya Nishati, Je taasisi husika zinachukua hatua stahili kwa wakati? Nini kifanyike?