Niseme mwanzo?

tafadhali mulama kama una majibu ya matatizo yangu weka hapa,huwezi jua utakuwa umesaidia wangapi wanaokufa na tai zao shingoni

Ndugu Jestina naona huna tatizo lolote unataka mada kwenye jf. Nimekuelewa ila nasikitika nina miiko ya kazi na maadili ya kuzaliwa vitu vya kuongea adharani nachagua sana.
 
Ndugu Jestina naona huna tatizo lolote unataka mada kwenye jf. Nimekuelewa ila nasikitika nina miiko ya kazi na maadili ya kuzaliwa vitu vya kuongea adharani nachagua sana.

haya mulama sitakulazimisha kama hupendi kushare na watu hayo maujuzi.hapo kny bold nini kimepelekea uamini hivyo,nina tatizo kama huamini basi bwana sina haja ya kutunga hadithi hapa nifurahishe jamvi ili nipate nini?
 
huna tatizo, hujapata anayejua kukuna. Na ww hujui ukikunwa wapi wajisikia raha ili umsaidie patna wako? Au hujui ukikaa vp mkunaji anafikia upele kwa urahs na kuutumbua?
 
Bebii pole shosti,samahani naomba nikulize Umekeketwa? sababu niko na rafiki yangu yeye ni msudani alikua na tatizo linalo fanana na lako yani alikua anatia huruma mwanamme anakuanae hata miezi 6 siku atakayo lalanae ndio kwaheri, Badili tabia Lete vitu Mkubwa! hizi ndio angazzakoooo.
 
jaman mbona mnachangia kama hamuelewi?huyo dada keshafanya juhudi za kukutana na mitarimbo ya kutosha kama ya mandingo,huenda ikawa ana tatizo la KUKEKETWA,ila mi nina dawa nitafute mdada!
 
nahisi nina sehemu ndogo sana inayonifanya nifikie mshindo hivyo mara nyingi nikikutana na wanaume wanaimiss hii sehemu kwa udogo wake! wakati wanathrush ndio maana nikaconclude ni tatizo la kimaumbile


mama huna tatizo hapo....unahitaji before muingie Uwanja wa taifa, mnunue ticket, ingia kwenye foleni, fuata foleni, mpate ka usumbufu kidogo kabla ya kuingia uwanjani..mkiingia mechi iwe mechi sio kimechi...mwanaume kama unaona anataka kuja kufunga haraka mpige kofi inarudi...for more will be back
 
huna tatizo, hujapata anayejua kukuna. Na ww hujui ukikunwa wapi wajisikia raha ili umsaidie patna wako? Au hujui ukikaa vp mkunaji anafikia upele kwa urahs na kuutumbua?

Huyu dada atakuwa na tatizo...anasema alikuwa na wanaume wa4! Je ni kweli ktk hao wote hakuna ata m1 ambaye angemkuna vizuri na mwisho afike Mlimani?? No,wenye maujuzi ya hili tatizo embu tumsaidie jamani ili na mwenzetu aifurahia hii amri ya 6!
 
Umejuaje kama ni wewe ndo mwenye tatizo na kwamba si hao boyfriends wako walikuwa hawajui namna ya kukufikisha? Sidhani kama kweli ukipata mtaalamu mzuri utashindwa kufika. Ni Pm nikupe ushauri wa kibiolojia.

huo ushauri wa kibailogia si uutoe hadahrani na sisi wengine tufaidike usiwe mbinafsi au hujiamini na huo ushauri wako weka mambo hadharani wanajamvini tuone kama ni kweli na yale tusoyajua tuyajue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom