Nisameheni

yeye si kadai moja ya sbb ya kuitoa ni wingi wa PM.....!!
mimi nitamtumia mvua nyingine ya PMs za kuomba airudishe ile ya kwanza mkuu....labda mrembo atabadili mwendo huu!lol

Hahahahahaha kila la heri Father Xmas ile avatar CM akiamua kuirudisha wengi tutafurahia sana tu. :)
 
hhaha ingekuwa sasa hivi ni wakati wa krishmasi, apo kweli ungeweini lakini kwa sasa ngoja wenye 'property right' tu do ze nidiful kwa afya yako!
tehetehe........nashukuru kwa kujali afya yangu mazee....lkn father-xmas huyu hana msimu kamanda.....cheusimangala mimi na yeye damu damu atanielewa tu.....lol
 
RayB, basi nielezee kwa maneno avatar ilikuwaje na nitapata picha wakati ombi la kurudishwa kwake likifanyiwa kazi.

mkulu unaomba kuelezewa hadi unatia huruma....tehetehe...mi ninayo kubwa yake nimeisave cheusi aliniambia alikoitoa lol ...ningekupa lkn naogopa kuiweka hapa nisije kumuuzi malkia wa afrika bure na yeye keshatubu.....lol
 
yeye si kadai moja ya sbb ya kuitoa ni wingi wa PM.....!!
mimi nitamtumia mvua nyingine ya PMs za kuomba airudishe ile ya kwanza mkuu....labda mrembo atabadili mwendo huu!lol

Taratibu father msije mkamkimbiza humu ndani kabisa mwenzenu analinda kakidole kake kapya jamani
 
RayB, basi nielezee kwa maneno avatar ilikuwaje na nitapata picha wakati ombi la kurudishwa kwake likifanyiwa kazi.

Ndugu kwani wewe mgeni kwenye hili hema? Ni kabinti kamoja hivi kameumbika na pozi la kistaarabu tu (ingawa dadaangu anasema lilikuwa ni la kichokozi) ila shughuli ilikuwa huko nyuma na concave structure kwa kifupi pamoja ha hoja zake nzito na za kusisimua lakini kwa sisi ambao ni selective ile ndo iliwavutia wengi kuendelea kuzisoma posts zake na bila kujijua watu walikuwa wanagonga senksi mfululizo and for those who were more wakware were left with circles on their pants. You there!!???
 
mkulu unaomba kuelezewa hadi unatia huruma....tehetehe...mi ninayo kubwa yake nimeisave cheusi aliniambia alikoitoa lol ...ningekupa lkn naogopa kuiweka hapa nisije kumuuzi malkia wa afrika bure na yeye keshatubu.....lol
Mkuu wewe niwekee kwa sababu hatuwezi kufumba macho tuwapo barabarani, kwa kazi ya uumbaji. Au watu wafichwe ndani wasionekane?
 
hahaaa..ngoja kesho kwen jukwaa la malalamiko

si unajua mwanakijiji alitaka kutuwekea mtu wa afghanistani tukamwomba amrudishe orijino akakubal?

Mkuu kama hilo la kumkataa mtu wa Afghanistan :) wa Mkjjj liliwezekana basi hata hili la kumuomba CM aturudishie avatar yetu linaweza kabisa kuwezekana.
 
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

Ni mara kadhaa nimekuwa nikikutana na coments za kaka zangu wakidai kuwa avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.

Mimi ni binti wa kikristo,hivyo kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu ndio maana nimeamua kuitoa avatar ile.

Mbaya zaidi najiona nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu nikiwasihi tuache maasi lkn avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi.(nimetubu kwa hilo,nanyi tubuni).

Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua ya masika zilikuwa zinanikosesha pumzi na hata niliposema nina mchumba haikusaidia,hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.

now i know what carmel waz talkin about,nimekoma jamani!!!

kaka zangu nisameheni hakika sikujua kama kale ka-avatar yaani kanaweza kuwatia majaribuni jamani.

I love u all.

Cheusi wangu wala huna sababu ya kuomba msamaha,ila mimi binafsi nakuomba kwa afya yangu na ya wanajamii wengine, basi irudishe ile.

Mi sina tatizo na Avatar wala PMs, ni jambo la kawaida tu ..lakini kilio hiki kimenifikia nami nakuomba hebu irudishe basi mama watu waendelee kufurahi!

asante kwa kunisikiliza na kuwasikiliza wengine pia!
 
CheusiMangala mimi pia naungana na Kaizer kukuomba ili uirudishe ile avatar. Sikuwahi kusema chochote huko nyuma kuhusiana na avatar ile wala kukumiminia miPM lakini kusema kweli nilikuwa naingalia mara nyingi kila nilipokutana na jumbe zako. Hivyo naungana na Mkuu Kaizer kukuomba uirudishe na watakaoingia majaribuni basi watajua jinsi ya kupambana na majaribu hayo. Natanguliza shukrani.
 
Naomba msamaha nikimaanisha kutoka ndani ya moyo wangu,

  • avatar yangu ile ya mwanzo imekuwa ikiwatia majaribuni.
  • Mimi ni binti wa kikristo,
  • kumuangusha mwenzangu majaribuni ni jambo zito na lenye kuipoteza amani ya moyo wangu
  • nilikuwa kama mnafiki sbb sometimes nimekuwa nikiwaandikia maneno ya ujumbe wa mungu
  • avatar yangu ilikuwa against what i was preaching sbb ilikuwa ikiwasukuma kaka zangu kuwazia maasi
  • Pia nimeibadili sababu PMs zilizokuwa zikimiminika kama mvua
  • niliposema nina mchumba haikusaidia,
  • hivyo natumai mabadiliko haya ya avatar yatapunguza wingi wa PMs kama sio kuzimaliza kabisa.

Cheusi,

Kwanza ebu "rewind" bana ile ya awali tuone ilikuwaje, sie wengine hatukuwahi kuiona hiyo iliyobadilishwa, pleaseeeeee, inaweza kuwa nzuri zaidi ...

Umekwshaolewa au ndo bado mchumba?? lakini hii ya sasa yaonyesha kama una pete ya ndoa..je, ni kukwepa PMs?.

Kama si kujichulia kutovikwa kabisa pete ya ndoa au uchumba kwenye hicho kidole husika, tafadhali rejesha ile ya awali au tafuta nyingine iwapo huna mchumba wala mume.

Kwani ni nini kilikusukuma ukatumia ile ambayo umeibadili?,..

Huna uhakika na maumbile yako?, je, kama ungekuwa kama hiyo avatar ya awali ungejibadili iwapo "kaka zako" tungekuwatukikuuliza?..
 
Umefanya vyema kwani kweli yale ni majaribu. Hii ya sasa pia kimeo kwani hizo nakoz soo. Mkono mgumu sana huo kwa mtoto wa kike
 
Cheusi wangu wala huna sababu ya kuomba msamaha,ila mimi binafsi nakuomba kwa afya yangu na ya wanajamii wengine, basi irudishe ile.

Mi sina tatizo na Avatar wala PMs, ni jambo la kawaida tu ..lakini kilio hiki kimenifikia nami nakuomba hebu irudishe basi mama watu waendelee kufurahi!

asante kwa kunisikiliza na kuwasikiliza wengine pia!

okay kaizer wangu,unajua jinsi nilivyo mtiifu kwako,sina nguvu za kukataa ombi lako,niliamua kuziba masikio lkn kwa vile wewe daktari wangu umeniomba niirudishe,basi naomba nikuridhishe kwa kuirudisha ili roho yako na ya wote walioomba avatar irudi itulie.
wote mtakaoingia majaribuni msiniambie mimi naomba muwasiliane na kaizer kwa malalamiko ya aina yeyote ile.
sitajibu coment yeyote ile kuhusiana na kitendo cha kuirudisha lkn kumbukeni nawapenda sana!
 
CheusiMangala mimi pia naungana na Kaizer kukuomba ili uirudishe ile avatar. Sikuwahi kusema chochote huko nyuma kuhusiana na avatar ile wala kukumiminia miPM lakini kusema kweli nilikuwa naingalia mara nyingi kila nilipokutana na jumbe zako. Hivyo naungana na Mkuu Kaizer kukuomba uirudishe na watakaoingia majaribuni basi watajua jinsi ya kupambana na majaribu hayo. Natanguliza shukrani.
haya kaka yangu sema jingine!
 
Ahsante sana kwa kusikiliza ombi letu hiyo miPM itakayomiminika we achana nayo waambie kuna njemba imeshawahi na inajiita Lucky Man :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom