Nisamehe honey

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
[h=6]Mwanaume mmoja alikuwa
amelazwa katika chumba cha
wagonjwa
mahututi akiwa amepoteza
fahamu kwa siku mbili.
Alipozinduka akamuona
mkewe akiwa pembeni ya kitanda
akimuombea. Jamaa kwa upendo
akamuita
mkewe na kumwambia "Honey
kabla sijafa kuna jambo inabidi
nikwambie
ili niweze kwenda mbinguni
nikiwa safi" jamaa alimueleza
mkewe taratibu.
" Nimecheat...kwa muda mrefu
nilikuwa nikifanya mapenzi na
rafiki yako
Samia, pamoja na mama Kay, yule
jirani wetu wa nyumba ya tatu. Na
hata
yule house girl wetu aliyeondoka
kwenda kwao nilisha wahi kulala
nae wakati
ulipoenda mkutano wa kikazi
Arusha...Naomba unisamehe mke
wangu nife vizuri"
Jamaa alimaliza huku machozi
yakimtoka. Kwa upendo mkewe
akamshika mkono
na kumwambia " Usijali honey,
nimesha kusamehe, ila na mimi
pia naomba unisamehe
kwa kukuwekea sumu...
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom