nisaidienijamani

Buntungwa

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
549
304
wakuu poleni na kazi za ujenzi wa taifa, mie ni mfanyabiashara wa kati,ninabiashara ya duka la nguo za watoto wa siku 1 na kuendelea za kike naza kiume.sijawahi kopa benk wala sacoci yoyote najisimamia mwenyewe.naomba mtu anayeweza nikopesha milioni moja tu nitairudisha baada ya miezi miwili bila riba huu ni mwezi mtukufu tusaidiane jamani'Benk naogopa riba yao'
 
Back
Top Bottom