nisaidieni

niwaellyester1

Senior Member
Sep 7, 2010
123
19
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,
 
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,
Nani kasema utakosa kazi wewe. mbona unakuwa na mashaka yasiyo ma msingi?
Mbona kuna bodies kibao zinazofanya researches za masuala ya jamii mashaka ya nini??
After all si lazima ufanye kazi za fani hiyo. sio?
 
My Young never be like a pupil, maadam umeamua kuisomea faculty hiyo piga ukisha maliza basi tafuta kazi kama ukikosa kazi basi tafuta short courses ambazo unadhani ungetaka ufanye kazi kupitia hizo, nakupa mfano, rafiki yangu mmoja alichukua sheria alipotafuta kazi akakosa akaamua kwenda kusoma mambo ya International Relations pale kurasini mwaka mmoja leo anafanya kazi pale foreign Affairs kupitia course ya pili lkn anajulikana ni Graduate, usikate tamaa, you are one of winners,acha kuwa Kihiyo kufikiria pesa soma,"Fimbo uliyonayo ndiyo itaua hako kanyoka".
 
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,

Haukusema unasoma Chuo gani, lakini me naamini hausomi bure.

Ajira za taaluma yako ziko kijijini kwetu Nyanguge.

Kama unataka kubaki mjini basi kama ni mwanamke lazima ucheze 'ALAJ ALAJ' ndo upate kazi. Au ukubali kushabikia CCM hata kama unaonekana wazi kuwa 'umefulia' na hauna future.
 
Nani kasema utakosa kazi wewe. mbona unakuwa na mashaka yasiyo ma msingi?
Mbona kuna bodies kibao zinazofanya researches za masuala ya jamii mashaka ya nini??
After all si lazima ufanye kazi za fani hiyo. sio?

Mkubwa sio siri huwa napenda sana majibu yako,Unampa mtu majibu ya maana na heshima na mtu anaelewa anakuwa na moyo wa kufanya kitu fulani, Thanks again
 
me nasoma sociology, bachelor mwaka wapili sasa, ila ninaambiwa hii kitu haina kazi inamaana me nasoma bure? au kama kuna mtu ana uzoefu na kazi za sociologist anipe hopes kidogo,

investment ya kwenye elimu haidanganyi........ by the way usiwe na mentality ya kuajiriwa tuuu.
Think outside the box..... fikiria ajira binafsi first..........Utalifanyia nini taifa kutokana na ulichokipata chuo???
 
Wee vipi ebu jiamini basi.Mimi nimesoma sociology many year back niko kwenye ma NGO usiwe na wasi wasi we maliza shule yako kazi ziko nyingi sana ila tu uwe na subira kwa sasa soma sana. Kwa mfano research nyingi watu wa sociology wanafanya, NGO kibao zinahitaji watu wa Sociology kwa upande wa serikali ofisi za maendeleo ya jamii wanataka watu wa sociology, pale NSSF walau ni pa urasimu watu wa sociology ndio sehemu yao

Tatizo la wabongo tunasoma hatuji tuwe akina nani

Select course ambayo unajua utakua nani kwa badae usichague course kwa sababu ndugu au rafika yako kwakuambia ukasome
 
Nani kasema utakosa kazi wewe. mbona unakuwa na mashaka yasiyo ma msingi?
Mbona kuna bodies kibao zinazofanya researches za masuala ya jamii mashaka ya nini??
After all si lazima ufanye kazi za fani hiyo. sio?
you are very expert bro!
 
Back
Top Bottom