Nisaidieni

Jun 10, 2011
20
0
Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za Uongo.
1. hakuwa na mpenzi name kuwa chaguo lake la pekee,
2. eti anaishi Kenya, mfanya biashara,
3. Familia niya elite group.
Kwa sababu hizo tukaamua kushirikiana kwa kila jambo japokuwa tuko mbali from each other tena mwaka ujao tulipanga tukatambulishane kwa wazazi.
MWISHO WA SIKU….nikagundua kuwa kaka anampenzi wake na wanasoma chuo kimoja mwaka wa pili, yuko Tanzania chuo kikuu cha Dodoma
Je nifanyeje?
 
Sasa we mpaka hapo ushauri wa nini?

Unataka kujua kama umng'ang'anie? Kama unapenda drama JARIBU.
Unataka kujua kama uendelee ane tu taratibu umdatishe aache kule?Kama uko tayari kujiabisha kwa kwenda kutambulisha mchumba hewa na kuvunjwa moyo JARIBU.
Unataka kujua kama ni sahihi kumpotezea? Kama akili yako bado inafanya kazi upe moyo mapumziko uitumie maana hicho haswa ndio chakufanya wala sio kujaribu.
 
Naona shosti kama unataka kuambiwa endelea nae atabadilika! ebu asikutie jiti la roho muache na alokua nae na wewe futa mawasiliano na yeye,na hayo mambo yakukutana kwenye FB shosti punguza wengine magumegume amkaaa...
 
Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za Uongo.
1. hakuwa na mpenzi name kuwa chaguo lake la pekee,
2. eti anaishi Kenya, mfanya biashara,
3. Familia niya elite group.
Kwa sababu hizo tukaamua kushirikiana kwa kila jambo japokuwa tuko mbali from each other tena mwaka ujao tulipanga tukatambulishane kwa wazazi.
MWISHO WA SIKU….nikagundua kuwa kaka anampenzi wake na wanasoma chuo kimoja mwaka wa pili, yuko Tanzania chuo kikuu cha Dodoma
Je nifanyeje?
Jamani pole sana! hii face book hii!! haya mi no comment, pole lakini!
 
Kuna kaka nilikutana naye facebook, tukapeana namba za simu tukawa tunawasiliana vizuri mpaka sasa tumefikisha mwaka mmoja. Wakati nikitafakari undani wa upendo wetu ikaonesha ya kuwa mkaka hana mapenzi yakweli kwani alinipatia information za Uongo.
1. hakuwa na mpenzi name kuwa chaguo lake la pekee,
2. eti anaishi Kenya, mfanya biashara,
3. Familia niya elite group.
Kwa sababu hizo tukaamua kushirikiana kwa kila jambo japokuwa tuko mbali from each other tena mwaka ujao tulipanga tukatambulishane kwa wazazi.
MWISHO WA SIKU….nikagundua kuwa kaka anampenzi wake na wanasoma chuo kimoja mwaka wa pili, yuko Tanzania chuo kikuu cha Dodoma
Je nifanyeje?

dah nataman nikupge kwenzi
yaan kabsaaaa unamwamin mtu pasi na kumwona?maandishi tu yanakufanya uamini?
na ukiangalia utapel uliopo mjin apa jaman dah...kwel tunatofautiana akili

na kwa fkra izo nyepes utadanganywa sana..na inaonekana ashakusoma unapenda nin ndo mana akawa anakupapoints unazopenda kuziskia.....elite family?mhh hatar
so angekwambia yeye ni anko wa obama pia ungekubali?
mhh nooo sorr iv una umri gan?
 
Pole sn.cha kufanya hapo n kusepa 2.mpotezeee japo n ngumu na ìnaumaa!

inaumaje jaman mapenz iyenyewe yalikuwa ya RIWAYA?..
MTAKUJA KUTONGOZWA NA majin uko ma FB...embu kuwen real kdg achen uzungu cz uaminifu aupo kiivo apa kwetu
 
Naona shosti kama unataka kuambiwa endelea nae atabadilika! ebu asikutie jiti la roho muache na alokua nae na wewe futa mawasiliano na yeye,na hayo mambo yakukutana kwenye FB shosti punguza wengine magumegume amkaaa...

ebu mwambie..watu wanavyotapeliwa uko FB et leo unamwamin kabsa mtu mpk unataka kumtambulisha mtu?labda lichinja chinja uko?
 
hii ni kama riwaya vile, lol..

dump his sorry @$$, y r u even asking?
 
hata kama mapenzi ni kutake risk, nyie risk taker wengine mmepitiliza....
toka lini kwenye mitandao kuna mapenzi?
zaidi ya kudanganyana tu?
tena ushukuru umegundua mapema.....
achana na huyo kaka, kwanza hujawahi kumuona una uhakika gani kama ni binadamu?

tena uache mapenzi ya mitandao, kuna sanaa tupu khaaaaaa

kizazi cha dot.com hiki

Kweli kauli ya Mzee Bilali "vijana wa sasa ni .com"
inaelekea we mtaani kwenu upigiwi hata mruzi na Wanaume,sababu umewezaje kuzama kwenye penzi la mtu usiyemjua hata umbo au muonekane.
Polee saana!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom