Nisaidieni

Namna kujitibu maradhi ya kuwahi kushusha manii haraka wakati la tendo la ndoa na bila kujitibu wanaathirika wote khususan mwanamke.

Madawa yake ni:


1.Tangawizi kavu. Twanga upate unga

2.Uwatu. Twanga upate unga
3.Asali Safi mbichi
4.Mdalasini. Twanga upate unga

Chukua unga wa Tangawizi kiasi cha vijiko vitatu vya chakula kisha changanya na dawa iitwayo uwatu unga wake kiasi cha vijiko vitatu vya chakula,na hakikisha madawa haya ni ya unga yaani yatwange hadi yawe unga kisha chemsha kwa maji glasi tatu baada ya kuchemsha

hakikisha glasi moja inapotea kwa kuchemsha, halafu mgonjwa wa tatizo hilo atakuwa akijipaka kwenye dhakari yake na kwenye korodani zake yaani pumbu zake kabla ya tendo la sex.

kila siku mara moja na wakati anatumia dawa hiyo itamlazimika atumie asali kijiko kimoja cha chakula na mdalasini kijiko kimoja cha chai kila usiku anakula dawa hiyo mara moja kwa siku muda wa siku kumi na tano au ishirini Inshaallah atapona. Please give me Feedback.

Ukitaka Dawa ya Nguvu za Kiume bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anaye-taka.html
 
Tatito la kuwahi kufika kileleni! Please!

Zaidi ya 55% ya wanaume wanalalamika wanawahi kufika kileleni!!!! Huku wakiwa hawesemi kwa kawaida inatakiwa iwe baada ya muda gani. Na kwa upande mwingine kuna wataalamu wanatoa majibu rahisi kwa tatizo hilo kupitia redio, magezeti, mitandao nk lakini hakuna ushahidi kama huduma hizo zinasaidia. Nakushauri fanya utafiti kabla ya kuchukua hatua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom