nisaidieni

Uzuri

Member
Dec 31, 2008
45
2
laptop yangu acer aspire3660,haiingizi moto.kuna jamaa kaniambia eti imekufa power suply hvyo nibadili mother board,kama hvyo ndivyo ntapata wapi.msaada wenu jamani
 
laptop yangu acer aspire3660,haiingizi moto.kuna jamaa kaniambia eti imekufa power suply hvyo nibadili mother board,kama hvyo ndivyo ntapata wapi.msaada wenu jamani

Kama laptop imekuf power supply inachotakiwa kubadilishwa ni power supply. aLkini thibitish hilo kuwata tafuta fundi apime kama iliyokufa ni power supply IC inayosambaza moto kwenye MOBO.

Inawezekana Sio Power suply labda Powe adaptor ndio imekufa. Umejaribu kuazima power adaptor mpya bado haionekani kupokea moto?.

Motherbod za laptop kufa sio rahisi . Watu wengi wanabadilsha MOBO lakini mara nyingi tatizo inakuwa ni some IC tu kwenye MOBO
 
Back
Top Bottom