Nisaidieni wazazi wangu hawataki nimwoe mmachame

Fanya uchunguzi kabla ya kuchukua uwamuzi wowote ukiona hakuna ukweli wwote kaa chini na wazazi wako washawishi kwa hoja madhubuti mwisho utapata uamuzi sahihi
Huu ushauri wa kutoka kuzimu Mmhh!

Toa takwimu inayoonyesha kuwa ndoa zote zenye matatizo zina wake wamachame
Toa takwimu zinazoonyesha kuwa ndoa zote ambazo waume wamefariki,wake zao ni wamachame
ballerina ukimazila kubinuka pokea tano.
 
Hapo mtafutie maji yaliyolowekewa katani mmwagie na hiyo kasi yake utamuona tuuu...

Mara nyingi kasi ya pili ni kasi inayozidi kiwango...............................si ameshajua kuna upupu na akina kwanini....pamoja na kadhalika?......................

ILA

Kazi unayo!...................wakati uko bize kiasi hicho ukijaribu kumshusha,.............familia yako itakuwa inakula nini?.........................................

Nina hakika utapiga hodi kwa huyohuyo mpanda juu!
 
kale kamsamiati ketu mkuu...lisemwalo lipo...

kwa hilo naomba ni ku prove wrong Mkuu, hawa dada hawako hivyo hata kidogo, mnawasingizia tu.Ni watu wanaomuogopa MUNGU, ni wachapa kazi na ukiwa nae ndani lazima uendelee.

Kuna jamaa yangu tena ni mtu maarufu saana hapo mjini kwa sasa alikuwa anataka kumuoa binti kutoka Machame mama yeke alimpinga saana, mama yake jamaa alipeleka swala kanisani likakataliwa, akahamua kwenda mpaka kwa wataalamu wa jadi, mwanae alikomaa tu. navyoandika sasa jamaa wanaishi maisha ya amani na binti huyu ambaye mama mtu alikuwa hamtaki ndo msaada mkubwa saana kwa huyu mama,
 
nyambaf!mi nadhani we umetumwa kuleta hoja za ukabila humu,ungesema na wewe ni kabila gani make inawezekana na wewe una matatizo ya kiasili ya kikwenu ndo maana wazazi wako hawamtaki dada angu wa kimachame.........kama unataka kufa vizuri oa kwetu meeku,na kama nafsi inasita nenda kwenye kaburi la shekh yahaya hussein ukamuulize atakutabiria!
 
kama wamachame unawaogopa kaoe kwenu
na uwaambie hao wazazi wako vilaza wakuchagulie mpaka rangi ya mke
 
Inaonekana mnatupenda sana wamachame ndio maana mnatusema sema tu vibaya nyie endeleeni tu na sijui lini mtafungukalini hizo akili zenu ndogo kama piritoni!!! WAMAHAME OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
 
cjui unaongelea wamachame wa karne ipi mkuu ila nakuhakikishia akuna k2 kama iyo huo ulikuwa na uvumi tu hivi utaua m2 sheria isichukue mkondo wake kweli? wanawaonea wivu kwavile ni wazuri wachapa kazi wanajua kujituma ata kama mwanaume ukuwa na ndoto za mafanikiwa utazipata tu.
 
inaonekana mnatupenda sana wamachame ndio maana mnatusema sema tu vibaya nyie endeleeni tu na sijui lini mtafungukalini hizo akili zenu ndogo kama piritoni!!! Wamahame oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!


oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Hilo lina ukweli,ila sio kwa kila mmoja wao cha kufanya kuwa makini sana
 
mi ni mmachame wa mkwarungo ninawapa ukweli,hili jambo lipo lakini ni la kimtazamo tu! Ila hawa dada zangu wanapoolewa na mtu ambaye si mmachema kwa kuwa wameathirika na mtazamo wa kimachame unaoaminika kuwa wachaga ndyo watu bora zaidi kiasi kwamba mwanaume ukioa mtu mathalani msukuma unaonekana umeoa mtu ambaye hajakamilika kwani amaonekana kama watu duni na kuna msemakabisa wanaita watu wa kasa yaani watu wa porini sasa mtazamo huo mabinti huishi maisha ya kujilisha jambo linalofanya asijisahau na achukuwe nafasi ya mwanaume hivyo ukioa mchaga tegemea kutawalwa ila maendeleo pia ni ya hakika si kama wengine,so kaka wewe ndy unayeoa go for that ukijua unatakiwa kumcontrol
 
Kaka, nisubiri mimi ndoa January 2017..naoa Mmachame...i will giv u my experience!!!!
 
Kweli kabisa usije ukathubutu kuoa Mmachame au Mchagga yeyote for that matter.Tunatisha kama ukoma....pesa ndo kitu pekee tunachokipenda kwa dhati...ndo maana tunafanya kazi wakati nyie wengine mmelala!

Ushauri...oa wa kwenu kwasababu tabia “ZENU“ zitakua moja na wazazi wako hawawezi kupinga kwasababu nao wanazo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom