Nisaidieni wana jf ushauri tu! mungu atawabariki sana

bwana we hawa watoto tunazaa siku hizi hawa!wenyewe tuko busy hapa tunafanya transalation ya maandiko ya watu hapa mpaka usiku wa manane angalau wakisoma wawe na kila kitu wenyewe wamepose rum sa hizi wanapost haya mavitu humu!inawezekana tunawapa nyingi sana hawa!mpka anajiona ye ndo mtatua matatizo,aliponiacha hoi ni pale anasema mwenza wangu!

Chezeya mifyonzo? Watoto wa siku hizi sijui wanasoma saa ngapi wallah!
 
mi nakwambia tuna kazi na hawa vijana pacha acha tu!upo ?ur missed here

Pacha nipo..sema umenikimbia sana..
Au unamfundisha mwanafunzi mkubwa??
Hawa watoto wewe waache tu..wanadhani wanakomoa mapenzi!..wakati wameyakuta na watayaacha..
 
mwanangu!nisikilize mimi ni kama mama yako na bahati nzuri ni mwalimu pia!achana na mawazo ya kuhudumia mtu sasa hivi.ur too young kujipa hayo majukumu sasa hivi sawa?ni sahihi kuwa na hisia kwa msichana since mwili upoa kwwnye hiyo hatua lakini ambacho si sahihi ni hicho unataka kufanya!mwache atatue matatizo yeye na familia yake,wewe la kufanya ni kukzana na shule ili baadae kama kweli Mungu amewaweka uhai na imani atakuja tu kuwa mkeo!jipe muda wa kukua na hayo majukumu ya baba zako waachie wenyewe!utafika muda yatakuja tu wala hayaombwi hayo,sawa mwanangu!mwombe sana Mungu akuongoze!

Na kuna possibility ya kushindwa kufanya vizuri na shule
mwisho na huyo mrembo amkose pia
anafikiri life ni maigizo naona..
kwa nini asiache wazazi wake wazungumze na wazazi wa binti kama wapo serious?
 
mdogo wangu hebu zingatia elimu vizuri kwa sasa. Mapenzi usiyachukulie kirahisi hivyo..pia yapo na yatakwepo sana ushindwe wewe!!
 
Pacha nipo..sema umenikimbia sana..
Au unamfundisha mwanafunzi mkubwa??
Hawa watoto wewe waache tu..wanadhani wanakomoa mapenzi!..wakati wameyakuta na watayaacha..
ah ntaanzaje kumkimbia pacha ?mambo tu mengi!ndo kuhaingikia ugali tena na hawa wanetu ndo shukrani zao hizi!kuna mwalimu wetu mmoja pale Forodhani alikuwa anasema '' mi nawashangaa sana wasichana,mnakimbilia hizo m**** mi nakwambi kuna kipindi ikifika saa kumi na mbili mtakuwa mnajikuta tu wenyewe mnabana miguu peke yenu!si msubiri!''wakati ule wala sikumwelewa!sasa ndo haya ya huyu dogo hapa!ah!
 
hili ni jibu tosha.
Kuwa makini kijana, utajitia ktk matatizo makubwa na mwisho chuo uache.
Binti Awe mvumilivu kwa wazazi wake, jiulize siku hali yako ikiwa mbaya kifedha au ukafukuzwa chuo huyo binti atakuvumilia au atatafuta pengine pa kupata hifadhi.

real i better think twice..tanks
 
tuulizeni siye walimu ndo mtajua ni aina gani ya watoto mnazaa siku hizi!

Umeshanijibu, sina sababu ya kukuuliza tena. Kijana ndo kagradyueti fom six anataka kuwowa kwa hela za boom? Ova mai dedi bode. Dunia imekwisha! Wengine na mishahara yetu familia zinatupeleka puta wengine wanataka kuoa kwa mkopo wa HELSB.
 
we acha tu!ukitaka kujua umuhimu wa ****** kalia kichwa!sasa huyu anataka kukalia kichwa ngoja abishe atayatafuta ****** yako wapi!
 
Oya oya easy people! haa kijan kalomba ushAuri dont be too hard on him. Hvi tunajua umri wake hadi tuone kuwa haezi majukumu? Amesema financially moderate tunajua anamaanisha hela kiasi gani? Hunda zinawatosha?

Easy people. Hapa timshauri tu bila kumnnanga

Halafu naomba Asprin, snowhite na gfsonwin mkahudumie ndoa zenu. Hapa abaki The Boss na wengine wa aina yake.
 
Last edited by a moderator:

mimi ndo wa aina ipi?
 
Huyo mama na binti wameona mbali sana. Wameona kijana akimaliza chuo possibility ya kuwa na wa matawi yake (wasomi) ni 99.999%

Kama huko tayari kuuza uhuru wako wa kuchagua kubali kuishi na huyo binti. Kama uko tayari kuchafua CV (na quote mtu hapa) endelea na mkakati wa kukaa na huyo binti.

Nina ndugu yangu alianza kuoa since alivyomaliza form four...kuja kumaliza college hata hatujuhi vizuri idadi ya wakeze. Kila akipata girlfriend yeye anaita mke anachukua jumla.

Kilichomsaidia Mungu hakuwahi kumpa watoto kwenye hiyo life style yake. Leo hii ana approach 40 bado haeleweki tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom