Nisaidieni Wana JF-nataka kutoka

Hii kampun yako mbona yaonesha kama ipo hewani, mpaka umeanzisha na mawebsite tayari?

web site nimeanzisha kwa lengo la kuitangaza,lakini lengo langu sasa nikutaka kuisajili,ili niweze kufanya kazi kwa uwanja mpana zaidi

kwani nimepata nafasi ya kuwa agent wa kuuza solar equipments hapa Tanzania lakini wao wanacho hitaji ni certificate of incoperation ambayo ili niweze kupata hiyo ni lazima nisajili kampuni yangu

http://www.ihamsolar.com/
 
Nawashukuru wadau kwa michango yenu,na tayari kuna mdau amenirekebishia vitu furani na amenipa mwelekeo jinsi ya kufanya

kilichobaki sasa ni mimi kuelekea Brela tayari kwa usajiri,mambo yakiwa safi ama mabaya nitarudi kuwapa taarifa nini kilijili

niwatakie kazi njema na mafanikio mema

tuwe na imani hususani ktk kipindi hiki kigumu cha kukaa gizani

pamoja daima
 
Mkuu wazo ni zuri; Lakini nilifikiri utasema unataka kuanzisha kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya solar, kumbe unaanzisha kampuni ya kusambaza vifaa. SWALI; Je utavitoa wapi?. Sasa umefika wakati wa kubadili mitazamo yetu badala ya kukimbilia kuwa WAHUUZI au WAMACHINGA ni vyema kufikiria kuzalisha bidhaa, hivi biashara za uchuuzi haziwezi kututoa kwa haraka. Hivyo basi mimi ningekushauri ufikirie mbali zaidi ya hapo.

mkuu mambo yakisha tulia tu kila kitu kitakuwa sawa ni swala la mda tu,tuzidi kuombeana ktk hili,nashukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom