Naomba ufafanuzi wa maneno haya

Nakioze

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
329
170
Bwana Forum,

Nimewasalimu na kuwapa pole ya shughuli kwa kila mmoja kwa upande wake.

Nachukua nafasi hii kuomba mnipe ufafanuzi wa maneno yafuatayo kisha tutayajadili moja baada ya jingine niweze kulinganisha kuona kama nielewavyo Mimi ndivyo waelewavyo wana taaluma wenzangu.

(1) Kashfa
(2) kusafishwa
(3) Ufisadi
(4) ubadhirifu wa Mali
(5) Wizi

Ndugu zangu tuna hoja ya msingi ya kutafakari na kuizungumzia kwa ajili ya manufaa ya jamii hivyo tusiidhihaki. Pia kutakuwa na maswali na majibu hivyo mzaa tuuweke pembeni.
Karibuni wana jukwaa.

Kilokote Bin Nakioze.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom