Nisaidieni.Simu yanagu haiwezi kudownload

Mutta

Senior Member
Mar 24, 2011
101
11
Simu yangu ni nokia 2690.Nilipoinunua nilikuta OPERAMINI ambayo imenisaidia kuwa kwenye ulimwengu wa kisayansi.Naitumia kufungua WEBSITE ZOTE ikiwemo JF.Tatizo la simu yangu haiwezi kudown load PICHA,MUSIC,FILE au SOFTWARE yote kama Opera 6.5.Mozila fox.nk.Ikianza kuload inakaa hada Dk 10 bila mafanikio.Naombeni msaada WANASAYANSI wa JF
 
Even mine c3 inanzngua,hai download pdf,picha na muzic kama kawa kama dawa?nambien nani kailoga?
 
hahaha doh hayo mafile mbona sio ya simu??? Mozila for pc na simu zenye ios na android pdf kwa ajili ya smartphone nawashauri kabla hamjadownload kitu muingie google msearch simu zenu maana hamjui zinahitaji mafile ya aina gan.

Common file za simu nyingi ni hizi hapa
Video: 3gp (baadhi mp4 na avi)
Music: mp3
games: java midp 2.0
Application: pia java
Picture: jpeg na gif
Hakikisha unadownload mafile hayo
 
mkwawa nakusaisha kidogo.ckuiz kuna mozila kwa ajili ya simu.pia ukiwa na opera unaweza download kituchochote. Tatizo litakuja pale unapotaka fungua ulcho download na simu yako haina uwezo itakugomea.
We unaepata tatizo la kudownload opera version zingne kimeo jaribu version ya juu yake
 
Simu yangu ni nokia 2690.Nilipoinunua nilikuta OPERAMINI ambayo imenisaidia kuwa kwenye ulimwengu wa kisayansi.Naitumia kufungua WEBSITE ZOTE ikiwemo JF.Tatizo la simu yangu haiwezi kudown load PICHA,MUSIC,FILE au SOFTWARE yote kama Opera 6.5.Mozila fox.nk.Ikianza kuload inakaa hada Dk 10 bila mafanikio.Naombeni msaada WANASAYANSI wa JF

Je,simu yako ina memory card ya kutosha? Pia hakikisha kwamba unajua simu yako inahifadhi wapi downloaded files.Mf.Simu yangu nikidownload kitu kinaingia kwenye phone memory alafu ndo nakisave kwenye memoro card,pengine phone memory yako imejaa,itazame na kama ni kweli hamisha vitu ambavyo vpo kwenye phone memory viende kwenye memory card.
 
mkwawa nakusaisha kidogo.ckuiz kuna mozila kwa ajili ya simu.pia ukiwa na opera unaweza download kituchochote. Tatizo litakuja pale unapotaka fungua ulcho download na simu yako haina uwezo itakugomea.
We unaepata tatizo la kudownload opera version zingne kimeo jaribu version ya juu yake

Soma vizuri post yangu mozilla ya simu ni kwa ajili ya iphone android na smartphone ye simu yake s40 haiwez download then opera mini ya s40 haiwez download game yenyewe imetengenezwa kwa java so haidownload java mwenzie kama huamini jaribu
 
jamani naombeni msaada wenu mimi simu yangu ni express music 5130..toka juzi inashindwa kudownload file lolote iwe nyimbo au pdf..nifanyeje natumia opera..5.1 na 6.5 na bolt na ucbrowser..chondechone msaada wenu wajuzi wa haya mambo..ili ni tatizo la simu au?
 
Je,simu yako ina memory card ya kutosha? Pia hakikisha kwamba unajua simu yako inahifadhi wapi downloaded files.Mf.Simu yangu nikidownload kitu kinaingia kwenye phone memory alafu ndo nakisave kwenye memoro card,pengine phone memory yako imejaa,itazame na kama ni kweli hamisha vitu ambavyo vpo kwenye phone memory viende kwenye memory card.
.Simu yangu ina 1GB.ukipitia kule WEB then adress ukianda kuingia kwenye web yoyote eg bbc,cnn,jamii,inagoma kufungua.Nikipitia kwenye OPERAMIN inafungua web zote.Tatizo nikita kudownload opera 6.5.Inapotaka kuopen hilo file inadownload bila mafanikio.Yaani file halifunguki.Kwenye waptric waweza kupata nyimbo,ukianza kuopen inaopen weeee about 5min bila mafanikio
 
Umeangalia internet configurations zako kama zipo fresh Mutta Leander? Yani hakikisha umechagua access point ya mtandao wako. Pia internet speed inachangia mkuu.jaribu kubadilisha mtandao uone kama ita download Mutta Leander
 
Back
Top Bottom