nisaidieni pliz

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
hivi jamani kwa mfano mume ameacha cm yakei mean ameisahau akaenda kwenye mizunguko yake
Halafu mke akawa anapokea cm zake akitoa tarifa mwenyewe hayupo kuna ubaya gani?please naombeni mawazo yenu
 
kwa nini upokee simu ambayo si yako?
Haipendezi....
Acha mwenyewe akirudi atapitia missedcalls zake na kurespond kama anataka....
 
si yangu lakini c mume wangu hata ya kwangu mi mbona shida hamna kwani kuna siri gani tunatakiwa tufichiane
 
sio swala la siri bibie....
Ni la kuheshimu cha mwenzio hata kama ni chako...
Hivi mfano bosi wake ampigie au mfanyabiashara mwenzie apige halafu mke upokee unajibuje? Kuwa 'ametoka kasahau simu'?

Inaleta picha gani kwa boss/Patner wake wa kibiashara? Unadhani wataamini kirahisi?

Na ukiiacha unapungukiwa nini?
Au unapopokea unataka 'kugundua' nini?


si yangu lakini c mume wangu hata ya kwangu mi mbona shida hamna kwani kuna siri gani tunatakiwa tufichiane
 
Habari za simu zimekua so complicated, kuna wakati unapokea simu ya mkeo/mmeo upande wa pili unaanza kuongea habari nzitonzito zihusuzo tasnia ya ngono.
Mwisho wa yote unakuta aliyepiga alikua amekosea number.
 
Mimi simu yangu huwa kama nimesahau wife anapokea, sioni kama kosa mke wangu kupokea simu.
 
nakubaliana na wewe@fazaa kwa sababu kama utakataa au utamind mke wako kupokea simu basi kuna shida
 
Siustaarabu hata kama ni mumeo. Haina haja kujibu si ataziona misscall na swali langu ni hivi ni sawa mumeo kujibu simu zako?

Myself, I woudn't want hata kama sina hidden agenda
 
simu ya mtu hata kama ni mwenzi wako ni kama eneo lililotegwa mabomu... you don't wanna mess with that...
 
Ni ushamba labda mwenyewe nae angekuwepo asingetaka kuzipokea si unakuwa unaharibu mambo
 
hamna tatizo lolote sii ukweli na uwazi hapo

Hujakosea labda kama kuna hidden agenda wala sio ushamba na kama mume ana jambo lazima amweleze mkewe kwa hiyo kama ni mtu hataki kupokea cm yake lazima atakua ameshasema kwa sababu mume au mke ni zaidi ya rafiki
 
Umefanya vibaya ur no supposed 2pick up ur husband phone hyo inamaana kwamba humuamini ba ulifanya hvyo kama atapiga m2 fulan umefanya vibaya!! Glo ni kosa so la kupokea bt lakuto mwamini mwenzako!
 
swala la kuaminiana halina nafasi mkuu kwani ukipokea cm ya mwezi wako humuamini????
 
Siku zote ndoa inayoendeshwa kwa uwazi wa mambo yanayowahusu wanandoa hujaa amani ya kutosha! Huwa sioni mantiki yoyote ya wanandoa kufichana mambo! Eti simu!,hivi mmeshawahi kujiuliza maisha ya wanandoa yangekuwa na amani kiasi gani kama matumizi ya simu yasingekuwepo?! Kwa nini tumeshindwa kuzitawala simu na badala yake zimetutawala?! Inasikitisha sana! Mi nadhani kila mwanandoa anapaswa kuwa wazi na sio masuala ya kuwekeana mipaka! TUACHANE NA MAISHA YA MAIGIZO JAMANI NA KUMBUKENI NDOA ZILIKUWEPO KABLA HATA YA HIZO SIMU KUVUMBULIWA!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom