Nisaidieni nipate shule SCANDINAVIAN COUNTRIES

Ni kweli elimu ni bure ila sio rahisi kama inavyosikika. Kwa European citizen wenyewe, hauruhusiwi kuhama tuu kwenda kusoma, unatakiwa uende kukaa kwanza nafikiri 1 year upige mzigio kwanza ndio uanze kusoma( hii ilikuwa 3 yrs ago) Nakushauri tafuta scholarship. Na wana internet site yao, nimejaribu kuipata nimeshindwa.
 
Kwa ufupi ni kwamba nahitaji msaada wa namna ya kupata admission kwa urahisi na haraka kwani mwajiri wangu ameniruhusu nianze masomo ikiwezekana mwaka huu. Nimechelewa kuanza kutafuta ndio maana naomba msaada ili nisipoteze muda mwingi kutafuta wakati kuna watalaamu kibao wenye useful info hapa.

Najua nchi za Scandinavian vyuo vingi (kama si vyote) hawacharge tuition fees. Kwa USA tuition fee ni kwa kwenda mbele. In short nataka ushauri wa namna ya kupata admission kwani scholarship naweza kutafuta provided nimepata admission.

Kwa kuwa mzee Lwiku unachohitaji ni admission tu, cha muhimu ni kuwasiliana na vyuo husika na kuomba admission information. Jitahidi ufanye haraka sababu vyuo vingi vinakaribia kufunga msimu wa udahili.

Hint. Website nyingi zza vyuo scandinavia wako specific kama kozi inafundishwa kwa kingereza au ni kwa kilugha chao. hivyo kuwa makini unapoomba kozi.

Pitia pia link zifuatazo kama zitakuwa na manufaa kwako:

Study in Norway/Masters course search/

Study in Sweden

CIMO's Discover Finland introduces you to various ways of coming to Finland: as a student, as a trainee or on youth exchange

Study in Denmark

All the best

GREEN29
 
Last edited:
Back
Top Bottom