nisaidieni nipate kazi

Mage

Member
Sep 2, 2008
42
1
mimi ni binti mwenye miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya juu UDSM in wildlife
science and conservation lakini mpaka sasa sijapata kazi nimeaply mnooo.
Nisaidieni waungwana mwenye uwezo wa kufanya ni pate kazi niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ulee.
Mungu awabariki
 
Mage,
You need to be flexible, there're many jobs outthere which need multiprofessionaonals. Don't be selective. When you've onething in your hand is easier to get another. I hope you've catch it.
 
you are not alone who are not employed mpo wengi sana,sasa mimi naweza kukupatia kazi rahisi sana rakin ambayo utamake a lot of money into future,did got me?
sasa kuanzia sasa kazi yako wewe nikutafuta kazi send more aplication as u can one day 4 sure u will got what u need
Narudia tena kwamba kuanzia sasa wewe kazi yko ni kutafuta kazi usiseme tena kama huna kazi
 
Mage,
You need to be flexible, there're many jobs outthere which need multiprofessionaonals. Don't be selective. When you've onething in your hand is easier to get another. I hope you've catch it
.

Unatokea sayari gani wewe?..unasoma lakini huelewi...kwani amekwambia anatafuta kazi katika wildlife science and conservation..hajasema anataka kazi gani, kama huna msaada siyo lazima usiandike.
 
mimi ni binti mwenye miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya juu UDSM in wildlife
science and conservation lakini mpaka sasa sijapata kazi nimeaply mnooo.
Nisaidieni waungwana mwenye uwezo wa kufanya ni pate kazi niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ulee.
Mungu awabariki

Try this people who call themselves Friends of Serengeti.They actually resulted to the forming of Tarangire and I think right now they are in Serengeti.I do not have their adress but just pop in once in a while am sure to have it by tommorrow.They deal with environmental conservation and protection of wildlife.
If you may be attracted with hortcultural am pleased to give you an adress and from what I can see your location is in Arusha it could be easy.
 
you are not alone who are not employed mpo wengi sana,sasa mimi naweza kukupatia kazi rahisi sana rakin ambayo utamake a lot of money into future,did got me?
sasa kuanzia sasa kazi yako wewe nikutafuta kazi send more aplication as u can one day 4 sure u will got what u need
Narudia tena kwamba kuanzia sasa wewe kazi yko ni kutafuta kazi usiseme tena kama huna kazi

Thanks kwa ushauri wenye kutia nguvu
 
Try this people who call themselves Friends of Serengeti.They actually resulted to the forming of Tarangire and I think right now they are in Serengeti.I do not have their adress but just pop in once in a while am sure to have it by tommorrow.They deal with environmental conservation and protection of wildlife.
If you may be attracted with hortcultural am pleased to give you an adress and from what I can see your location is in Arusha it could be easy.

Well as I told you before if you might be intrested with hortcultural send your qualifications to Rijk Zwaan Afrisem Ltd.If you dont get the assistant you need contact the below address for more clarifications but keep in mind its Rijk Zwaan Afrisem LTD giving the job.

Onesmo Kenneth
Programs officer
Tanzania Horticultural Association (TAHA)
P. O. Box 16520
Arusha - Tanzania
Tel/ Fax: +255 27 2544568
Cell: +255 755 825741

Website: www.tanzaniahorticulture.com
 
jamani habari zenu wakubwa mie ni member mgeni kabisa na nimejiunga ili nipate msaada toka kwa wanajamii wenzangu simply nami pia i am a mass communicator graduate but i am able to do anykind of job that you think can give me a daily bread.
thanks wanajamii
 
am feeling better to be amongst you people out there,kusema kweli i have a big hope that humu ndani yupo mtu atakae nisaidia na kunipa direction kadhaa za namna gani nitapata kazi.

you can think of it but that is how the way it is,ilikuwa hivi, mwanzoni nilikuwa natafuta ajira kiroho mbaya but later on nikaona hakuna anayejishughulisha nami katika kunipa kazi,i did not give it up nika pull up my stockings and move forward by writing a lot of application out there just kuomba kazi tu,but then mambo yakawa yale yale duh!

nikabadili technique kwa sababu wengi wao niliowafuata walisema i dont have any experience though mie najijua ni bonge la mchapakazi na multitalented kweli kweli.you know what nikaamua kuomba 'an opportunity to volunteer' ili nipate meals and transport fare allowances tu! still organisation hizo nilizozifuata na nyinginezo wakaendelea kubana. My God so what is this? i asked myself and what do they want ?

simply wanajamii nimekwama japokuwa bado natuma application letters out there nimegundua nahitaji zaidi wanajamii wanisaidie kwa hili natumai through this msg nitapata msaada very soon!
mass communication graduate
strongtai.
 
jamani habari zenu wakubwa mie ni member mgeni kabisa na nimejiunga ili nipate msaada toka kwa wanajamii wenzangu simply nami pia i am a mass communicator graduate but i am able to do anykind of job that you think can give me a daily bread.
thanks wanajamii

Swali la kwanza la interview

Mass Communicator graduate or Mass Communication graduate?
 
Unatokea sayari gani wewe?..unasoma lakini huelewi...kwani amekwambia anatafuta kazi katika wildlife science and conservation..hajasema anataka kazi gani, kama huna msaada siyo lazima usiandike.

Mambo Jambo,
Assistance does not only amount to tangible things even idea is assistance.
 
mimi ni binti mwenye miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya juu UDSM in wildlife
science and conservation lakini mpaka sasa sijapata kazi nimeaply mnooo.
Nisaidieni waungwana mwenye uwezo wa kufanya ni pate kazi niko tayari kufanya kazi mkoa wowote ulee.
Mungu awabariki

Mage,
Join kazi Africa community through their website (www.kaziafrica.com), there're many adverised jobs. I hope God will help you.
 
Swali la kwanza la interview

Mass Communicator graduate or Mass Communication graduate?[/QUOTE]

Mkuu Pundit asante kwa kuona hizo small details lakini ni muhimu sana....
Kazi huanzia hapa, sasa kama huyu jamaa hata hajui jina lako kitaalam, elimu aliyoisomea miaka 3-4 ataweza kujua kitu kingine kweli...usikute hata CV hajui inaandikwa vipi...sikukatishi tamaa lakini kama style yako ndo hii...basi unakazi kabla hujapata moja....
 
Nitumie CV yako kwenye johvet@gmail.com nione jinsi ya kukusaidia.

John Stephen
0784 203386

Hapa inatia mashaka kidogo, naona imekaa kitapeli-tapeli, pengine Mkuu John Stephen una moyo safi wa kumsaidia huyu dada lakini kuna vitu vinatia mashaka.
1. Why gmail address?
2. Why mobile phone number and not TTCL?
Dada Mage jiulize maswali haya kwanza kabla ya kumpa mtu details zako muhimu.
 
jamani habari zenu wakubwa mie ni member mgeni kabisa na nimejiunga ili nipate msaada toka kwa wanajamii wenzangu simply nami pia i am a mass communicator graduate but i am able to do anykind of job that you think can give me a daily bread.
thanks wanajamii
mwanawani usiwe naharaka sana wewe subiri kazimzuriunajua kazi za mapema zinakuwa sionzuri imean zainkuwa za mshahara mdogo so wewe u have to waituntil thoseguyshave alresdy employed andreduce competion tothe industry and then you can apply for the better job
 
mwanawani usiwe naharaka sana wewe subiri kazi mzuri unajua kazi za mapema zinakuwa sionzuri imean zainkuwa za mshahara mdogo so wewe u have to waituntil those guys have alresdy employed and reduce competion to the industry and then you can apply for the better job

Halafu kwa kipindi chote hicho atakula kwako?..mawazo ya kipimbi kabisa haya, unakazi kweli wewe?.. maana hata kutype hujui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom