nisaidieni naweza pata wap mkopo?????????

Nimeguswa na mada tajwa pia nami ningependa kuunganishwa na huyo mtu wa hardware mana tayari nimejenga nyumba isipokuwa bado finishing na kupata mkopo nimekwama sababu kiwanja chenyewe hakijapimwa so kupata hati issue, mabenk yetu haya nayo ni ya kisanii zaidi dhamana ya nyumba eti lazima iwe na hati jamani shida hizi! Mkuu tunaweza wasiliana kwa email bacronlyimo@yahoo.com / kwa simu namba 0763014483
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom