Nisaidieni Naogopa kuwa mgumba

Brown ad

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
345
204
Mimi nna tatizo ambalo linaninyima raha sana! Tangu naimevunja ungo nimekuwa na tatizo la kutokuwa na mpangilio mzuri wa hedhi.
Kwani nnaweza nikapitisha miezi miwili hadi mitatu bila ya kupata siku zangu kuna kipindi nikaenda hospitali nikaambiwa sina tatizo. Lakini siku zinavyozidi kwenda naona hali bado ipo vilevile nikaamua tena kwenda hospital baada ya vipimo nikaambiwa yai la kushoto lina maji nakapewa dawa na kupewa muda wa kurudi tena.
Niliporudi nikaambiwa kwamba yale maji yamekauka lakini sasa ni kama miezi saba na bado hali ndo inazidi kuwa mbaya kwani tumbo langu chini ya kitovu kama limevimba na nikilibinya kuna maumivu japo si makubwa,
naitaji msaada wenu, natanguliza shukrani.
 
Mhh angalia isije ikawa tatizo kubwa. Kama cancer n.k
Nakushauri nenda hospital ambayo wako serious. Usifanye mchezo kabisa na huo uvimbe.

ungekuwa uku India ningekuelekeza kwa daktari mzuir wa wanawake
 
niambie ni kipimo gani ulifanyiwa? ndo tunaweza toa ushauri. unatatizo nafikiri la hormone.
 
Huyu mama yuko Bongo na anahitaji msaada wako. Besaa ya kuja India hana. Fanya kama vile uko Bongo; utamsaidiaje?
 
kuhusu kipimo nilifanyiwa ultra sound, nitashukuru nikipata daktari atakae niangalia kiundani zaidi hili swala linaninyima raha sana
 
huyu dada yuko tanzania, anahitaji ushauli au maelekezo nin afnye kukabiliana na tatizo . na si uwepo wake india
 
kuhusu kipimo nilifanyiwa ultra sound, nitashukuru nikipata daktari atakae niangalia kiundani zaidi hili swala linaninyima raha sana
Pole dada! ugonjwa wako huitwa Metrorrhagia, kuna vitu vingi visababishavyo ugonjwa huu, moja wapo ni yweza kuwa hay maji katika yai (cyst), na mengine mengi. kama kweli ni hayo maji yalikuwa yameathiri hilo yai yawezekana kabisa hilo yai (ovary) isiwe inatoa yai, hivyo ikawa kisa cha kuwa unapitisha miezi miwili pila bleeding. ni kwamba kawaida yai hutoka katia ovary moja kila baada ya miezi miwili, hii ikiwa na maana kuwa mwezi huu likitoka la kushoto mwezi hujao litatoa la kuli. hivyo basi kama una linatoa moa tuu, utakuwa ubableed kila baada ya miezi miwili na likichelewa hata mitatu. hii nafikiri sasa ndo tatizo lako. lakini pia na muhimu zaidi yaweza kuwa ni matatizo makubwa ya hormoe mwilini mwako. hayo inakubidi uende kwa daktari na akuangalie zaidi. si rahisi mtu kukujibu hili swala katika mtandao. ni vipimo pekee ndo vinaweza zihilisha tatizo lako. ultra sound usaidia kuona tu, lakini kuhusu hormon lazima kuwea na maabara muhimu za endocrinology. kuhusu huo uvimbe sijui, lakini uvimbe wa aina yoyote lazima umuonyeshe daktari ili akusaidie fanya hima nenda hospitali[h=1][/h]
 
kwa kiasi flani nimekuelewa ila ningeitaji msaada wa daktari ambaye ni mtaalamu wa magonjwa haya ningemuona anisaidie
 
Huyu mama yuko Bongo na anahitaji msaada wako. Besaa ya kuja India hana. Fanya kama vile uko Bongo; utamsaidiaje?

Mh unaweza sema yuko india kumbe yuko mabwepande.angekua muungwana angetoa ushauri sio kumtisha mt huo ugonjwa sio mchezo.wala sidhan kwamuda wote huo ingekua nihuo ugonjwa hali ingekua mbaya zaidi.nakushaur dada angu nenda kwenye hospto kubwa wakufanyie uchunguz wa kina hiyo sio hali yakawaida.pia tungejua vipimo ulivyopata ingekua rahs zaidi kupata ushaur wakitaalam zaidi
 
kwa kiasi flani nimekuelewa ila ningeitaji msaada wa daktari ambaye ni mtaalamu wa magonjwa haya ningemuona anisaidie

ok...nenda kwa dr. james mkoyogo yupo mitaa ya best bites namanga kuna hospital moja ya kidhungu inaitwa premier care utampata pale ila ndio hivyo bei yake anajua mungu ila sio ghali kama kwenda india...

kwetu sie kina pangu pakavu huwa tunaenda na wake zetu kwa dr. mwaka yupo ilala boma ukifika ulizia madereva taksi wa pale unaulizia kwa dr. mwaka watakupeleka...huyu tiba zake ni za asili full mitishambani.... NAAMINI NIMETOA MSAADA DADANGU
 
pole sana dada yangu, usipuuze ata kidogo, kama unampenzi mwelezee kila kitu ili mjue mnafanyaje, kama huna mwambie mzazi wako wa kike, usifiche ugonjwa dada yangu. jinsi unavyopuuza ndo ugonjwa unakua, change hospital pia, pesa si siku, naamini mungu atakusaidia. pole dada yangu.
 
Nawashukuru wote mawazo yenu nayafanyia kazi kuanzia leo hii tayari nimeshaanza kupanga appointment na daktari muhimbili nna imani nitakuwa sawa
 
Ulizia "aljumaa charitable hospital" iko kariakoo sokoni karibu na stand ya mabasi ya msasani pale kuna daktari bingwa wa magonjwa ya kilos
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom