Nisaidieni namna ya ku-FLASH MODEM YA ZAIN

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Wateknolojia mpo!!!!! Nina modem ya Zain ambayo haikubali laini nyingine zaidi ya ZAIN, modem hii kila nikiitumia naaona ipo slow sana na hivyo inanikata stimu. Naomben mnijulishe namna ya kui-FLASH ili niweze kutumia laini ya ZANTEL/VODA
 
google this DC-UNLOCKER.
 
dc unlocker iko safi ila co free, utahitajika kununua p/word.
Model? kama ni Huawei rahisi sana ila ZTE shida kidogo
 
dc unlocker iko safi ila co free, utahitajika kununua p/word.
Model? kama ni Huawei rahisi sana ila ZTE shida kidogo
hakuna shida mkuu, baada ku run dcunlocker. create dial connection, inaconnect vizuritu! au google this ZTE_MF622 HSDPA/EDGE USB MODEM and dowload it. zipo kibao n free ina detect any sim card. mi natumia zte k3565z kwa line ya zantel,zain.
 
Natumia HUAWEI. Nitajaribu na ikishindikana nitawaijia tena wataalamu. Asanteni
 
simu inakatika....scan virus pia,jinsi unavyosema ata Zantel au voda itakuwa inakata na kuwa slow pia,inaonekana mashine yako ina virus pia
 
chizicomputer aka hacker makanjanja kama unataka kusaidiwa kuflash moderm yako piga namba 0712484995 nitakusaidia
 
chizicomputer aka hacker makanjanja kama unataka kusaidiwa kuflashiwa modem piga 0712484995 nitakusaidia
 
kama ni huawei nipe imei na model example IMEI: 356777777324456 MODEL E1750 nitakupa unlockcodes imei ni 15 digits.
 
Back
Top Bottom