Nisaidieni mwenzenu, napenda sana sifa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
Jamani sijui naumwa au nimelogwa.
huu ugonjwa unanitesa na kunimaliza.
Napenda sana sifa na mbwembwe na nikiona mabinti ndio kabisaaaaaa.
Ntajidai Kikwete ni houseboy wangu, Bakhresa ni msafisha viatu vyangu.
Sasa kuna binti nilimuelekeza ofisini kwangu.
Nikamwambia anipigie simu kabla hajaja.
Yeye akaja ghafla bila simu wala nini, kidogo tu nizimie, alinikuta nimevaa apron na mkononi nina mop na mbaya zaidi tea girl alikuwa akiniita kwa jina na kusema natakiwa jikoni nikapige deki kuna maji yamemwagika
 
Duh!!
Hiyo itakua ni asili yako,nahisi utakua wakunyumba!!
Goodmorning Rweyemamu!
 
Jamani sijui naumwa au nimelogwa.
huu ugonjwa unanitesa na kunimaliza.
Napenda sana sifa na mbwembwe na nikiona mabinti ndio kabisaaaaaa.
Ntajidai Kikwete ni houseboy wangu, Bakhresa ni msafisha viatu vyangu.
Sasa kuna binti nilimuelekeza ofisini kwangu.
Nikamwambia anipigie simu kabla hajaja.
Yeye akaja ghafla bila simu wala nini, kidogo tu nizimie, alinikuta nimevaa apron na mkononi nina mop na mbaya zaidi tea girl alikuwa akiniita kwa jina na kusema natakiwa jikoni nikapige deki kuna maji yamemwagika

Tatizo wida ndio inayokusumbua huimudu, hivyo basi achananayo.
 
ah ah ah! Ndio wewe ulipiga picha kwenye ile ndiga ya kifahari? Kwani ni yako au ilikuaje
 
manoah unaongelea ipi? Ile Aston Martin niliyomuazimaga Madame B akashindwa hata kupiga honi, au unaongelea ile Bugati ambayo Kipaji Halisi anasema imeshushwa kutoka mbinguni?
Nataka nikutafutie BMW ZA mpyaaaaa, kwa ajili ya shughuli zako za kwenda kukarabati nywele
 
Last edited by a moderator:
Endekea tu na kutaka sifa kwako maana kwanza ndizo mabinti wanazotaka. Pili, kukwambia uache kutaka sifa wakati umekuwa mtaka sifa tangu ukiwa mtoto na sasa una miaka 65 haiwezekani maana ulishazoea kutaka sifa. The end
 
Duh! Delusions of grandeur.wagambaki?????????
Jamani sijui naumwa au nimelogwa.
huu ugonjwa unanitesa na kunimaliza.
Napenda sana sifa na mbwembwe na nikiona mabinti ndio kabisaaaaaa.
Ntajidai Kikwete ni houseboy wangu, Bakhresa ni msafisha viatu vyangu.
Sasa kuna binti nilimuelekeza ofisini kwangu.
Nikamwambia anipigie simu kabla hajaja.
Yeye akaja ghafla bila simu wala nini, kidogo tu nizimie, alinikuta nimevaa apron na mkononi nina mop na mbaya zaidi tea girl alikuwa akiniita kwa jina na kusema natakiwa jikoni nikapige deki kuna maji yamemwagika
 
Jamani sijui naumwa au nimelogwa.
huu ugonjwa unanitesa na kunimaliza.
Napenda sana sifa na mbwembwe na nikiona mabinti ndio kabisaaaaaa.
Ntajidai Kikwete ni houseboy wangu, Bakhresa ni msafisha viatu vyangu.
Sasa kuna binti nilimuelekeza ofisini kwangu.
Nikamwambia anipigie simu kabla hajaja.
Yeye akaja ghafla bila simu wala nini, kidogo tu nizimie, alinikuta nimevaa apron na mkononi nina mop na mbaya zaidi tea girl alikuwa akiniita kwa jina na kusema natakiwa jikoni nikapige deki kuna maji yamemwagika

Bujibuji peleka hii chitchat..Pia nakushauri ufunge na kuomba hilo pepo la sifa na spiritual wife likutoke.
cc Invisible (kwa kumsaidia Buji kuhamisha thread)
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji nilikua namaanisha hii

roadstarr-slide-6.jpg

ukinisaidia iyo BMW utakua umefanya la maana sana

manoah unaongelea ipi? Ile Aston Martin niliyomuazimaga Madame B akashindwa hata kupiga honi, au unaongelea ile Bugati ambayo Kipaji Halisi anasema imeshushwa kutoka mbinguni?
Nataka nikutafutie BMW ZA mpyaaaaa, kwa ajili ya shughuli zako za kwenda kukarabati nywele
 
Last edited by a moderator:
We ni mkaree kaka ,, bora hata hy apron na mop aliokuta umeshika !! Huko kuitwa kupiga deki daa ndo ulichinjiwa baharini......
 
Mara ya kwanza nilikutana na Bujibuji nilikua waiting room ya White house nikienda kumalizia mazungumzo fulani kwa 'Bama. Mkutano wetu ulikua ni saa tano kamili ila 'Bama akaja kuniomba radhi kwa sababu mkutano wake na Buji wa saa nne ulihairishwa kidogo to saa tano hiyo hiyo kwa sababu ya bad weather.

See, Mkuu Buji alikua anasafiri na private jet, pilot wake ni Mfaransa, anazowea hizi winter za kitoto za huku kwetu (Did I mention I live in Cote d'Azur?). Basi ikabidi nikubali tu maana hawa viongozi wa mashariki hawapendi kulazimishwa.

Then nikamuona mwenyewe the magnificient Buji anakuja amevaa fur nyeupeeee kama barafu, nikamuuliza Michelle (Obama) huyu ndie nani? Akasema huyu ndie Buji tuliekua tunamsubiri. Nimaomba namba yake, Michelle akasema last time alitoa hiyo number kwa Beyonce Buji alikuja juu, hivo ni bora nimuombe mwenyewe.

Kwa bahati mbaya kabisa alipita 24 m from me, nikashindwa kumfuata (na mimi nina pride kidogo ati).

Next time nakuja na sehem ya pili, ambapo tulikutana Dubai in the desert.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom