Nisaidieni mnaoifahamu UDOM

Nyie Great thinkers Mlomshadadia mwenzehu hapo juu.... Kasema anafanya utafiti... Haina maana yupo CCM ama lah! Read between the lines people... Labda anafanya utafiti wa response ya vijana... Or maybe misimamo ya vijana kama yaweza yumba wavutwe huko kwenye vyama vingine... Tupunguze kukurupuka wakuu, hii sasa inavuka mpaka na hatujengi... Mnategemea hao CCM tutawang'oa vipi bila kujua hizo "ins and outs" na hizo zitapatikana vipi bila utafiti?? Think people... think...
 
Ofisi za ccm nenda ofisini kwa prof.kikula na mlacha watakuonyesha kwa sababu wanafanya kazi ya ccm,,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom