Nisaidieni mchumba wangu huyu

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Mambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile

Nataka nimnunulie kama zawadi any medication itakayo ondoa tatizo hilo.
Naombeni ushauri zawadi ya kumnunulia kutatua tatizo hilo

Heshima daima....
 
ni harufu ya jasho tu na kikawaida binadamu wote (including you and me) tukifanya kazi ngumu au kutembea mwendo mrefu tunatoa jasho na kisha harufu ya kikwapa. so haihitaji dawa zaidi ya kuoga na kupumzika. ila waweza kumshauri (na kumuwezesha if possible) kutumia uturi na/au marashi baada ya kukoga kadiri ya mapenzi na uwezo wenu
 
sawa kabisa miss J. Lakini ingekua poa ukashaur na uturi/unyunyu unaoweza tatua tatizo.
Kweli ni kitu cha kawaida lkn naona kwake yeye ni tofauti kidogo. Namaanisha it's little too much.
thanx
 
binadamu tuko tofauti.... ni vizuri tukajifahamu..... sasa sababu mwenzako analo tatizo hilo inabidi afanye yafuatayo:-
Kuoga mara kwa mara
kuvaa nguo mara moja tu na kubadilisha nguo kila inabobidi

kutumia sabuni zenye marashi, body spray na deodorants (Kuna deodorant moja ya forever aloe ever shield) ni nzuri sana tena ni tshs 10,000/= jaribu hii na manukato mengine.
 
avae nguo za cotton zaidi harufu itapungua.....ukiona sio issue atumie Driclor.....inapatikana pharmacy.....sio za uchochoroni
 
Mambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile

Nataka nimnunulie kama zawadi any medication itakayo ondoa tatizo hilo.
Naombeni ushauri zawadi ya kumnunulia kutatua tatizo hilo

Heshima daima....
Wacha unyanyapaa kwa demu wako wewe, ongea naye kwa makini, mweleze mtafute solution wote
 
Atumie underarms zinaweza kupunguza tatizo kama ni kwapani peke yake, kwingine sijui!!
 
Mambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile

Nataka nimnunulie kama zawadi any medication itakayo ondoa tatizo hilo.
Naombeni ushauri zawadi ya kumnunulia kutatua tatizo hilo

Heshima daima....

Kwakuwa umekubali sio kali sana basi itafutie manukato tu
 
Kama anakunukilia vibaya humpendi!! Just kikwapa tu cha kwapani? Je angelinuka mdomo na....?!

Oh no! Mwambie atumie shabu kusugulia makwapani wakati anapooga hiyo ndio tiba sahihi kwa tatizo hilo hutosikia tena harufu ile. aidha muwe mnafanzia kazi yenu bafuni (isiwe bafu na choo viko pamoja ukamsingizia tena) je umewahi kumuuliza kama harufu ya jasho lako anaipenda? au na yeye huwa anatega pua upande saa zile!?
 
Kuna natural therapy moja nilifundishwa na bibi. Kama haitamsumbua aitumie nayo ni, akipika ugali ucku, aloweke sufuria aliyopikia kisha kukicha aoshe kikwapa kwa maji hayo bila ya ukoko kila asubuhi kwa cku 2 au 3 mfululizo. Tatizo litabaki kuwa historia hata kama harufu hiyo ni ya kuzaliwa au inasababishwa na unene.
 
sawa kabisa miss J. Lakini ingekua poa ukashaur na uturi/unyunyu unaoweza tatua tatizo.
Kweli ni kitu cha kawaida lkn naona kwake yeye ni tofauti kidogo. Namaanisha it's little too much.
thanx

usitafute perfume.mtu mwenye jasho kali akijipulizia perfume matokeo yake ni harufu mbaya zaidi.cha msingi mtafutie body spray or anti-perspirant.me nzuri ninayoijua yenye bei ndogo inaitwa seduction
 
Mambozz
Dem wangu bwana akitembea au kufanya kazi ngumu anatoa harufu flan sio nzuri maeneo ya makwapa. Sio kali sana lakini siifurahii kivile

Nataka nimnunulie kama zawadi any medication itakayo ondoa tatizo hilo.
Naombeni ushauri zawadi ya kumnunulia kutatua tatizo hilo

Heshima daima....

akate limao nusu, apake kwenye kwapa dakika 10 - 20 kabla ya kuoga.
 
we mganga wa jadi, utaunguza watu makwapa.

lemon juice lazima iwe diluted vinginevyo ngozi ita suffer burns, welts and or redness. Tahadhari nyingine ni kujaribu concentrations ndogo kwanza na kuongeza taratibu kwa kuangalia reaction on the skin.
 
Sawa tabibu wa kuzungu. Mganga hajasema ukamue juice, la hasha. Tumia kipande cha limao kama kilivyo.
 
asipopaka juice ya limao atafanyaje, atembee umebana "kipande cha limao kama kilivyo" kwapani?? hilo kwapa limeoza?
 
Back
Top Bottom